Kwa hiyo ubovu wa Di Maria na Falcao unaopimaje? Wewe si shabiki wa Goons...
Hizi ni 2014/15 EPL stats kati ya Di Maria na Nemo
Goals Shots Assists Crosses Barclays Fans Rating
Di Maria 3 39 10 145 7.32
Nemo 4 22 5 41 6.37
Na huu ni msimu wa kwanza wa Di Maria....
Ángel Di María, Manchester United midfielder player profile | Barclays Premier League
Mesut Özil honours, awards & transfer info | Barclays Premier League
Hivi ni nani kamlinganisha Depay na akina Ronaldo na Messi humu?! Arifu mbona unaanza kuogopa wakati dogo hata hajatia mguu EPL!! Yaani unavyomwogopa hadi unamlinganisha mwenyewe na kina Ronaldo!!! Depay ni mchezaji mzuri ndiyo maana amemaliza kama mfungaji bora wa Eredivisie, akiwa na goli 21 (10 nyumbani na 11 ugenini).
Usiseme kitu kama huna uhakika nacho ili kufurahisha nafsi yako kwa kuonyesha United inayumba....
Angalia takwimu za Forbes za mwaka jana na mwaka huu, za Man United:
Mwaka 2014
3. Manchester United
Current value: $2.81 bil.
Revenue (2012-13): $551 mil.
Operating income (2012-13): $165 mil.
Manchester United's
sponsorship revenue has increased from $62 million in fiscal 2010 to $138 million in 2013.
Manchester United - In Photos: The World's Most Valuable Soccer Teams 2014 - Forbes
Mwaka 2015
3. Manchester United
Team value: $3.1 bil.
Revenue: $703 mil.
Operating income: $211 mil.
Manchester United
signed a record-shattering $1.1 billion, 10-year dual global sponsorship and licensing deal with adidas that begins with the 2015-16 season.
Manchester United - In Photos: The Worldâs Most Valuable Soccer Teams 2015 - Forbes
#WakaangaSumu bana, yaani ilmradi wabishe tu na kujitutumua humu....
Ujumbe ni kwamba, pamoja na baadhi ya vitimu kuchukua ubingwa, kwenda UCL, ila linapokuja suala la fwedha,
#ManUnited hana mpinzani....hii inawafunga midomo wote wale waliokuwa wanadai wanaweza kushindana na United katika soko la usajili, fedha ipo labda kama mchezaji hasitake mwenyewe ama timu isiwe nQ
Vitimu vili vyochochukua EPL na kwenda UCL vikitaka mchezaji vinampata,
Unless huyo mchezaji awe "reject" wa timu kubwa kama wachezaji wanaochukuliwa na timu yako siku hizi.
# Milele atakumbukwa SAF
#THE REST IS HISTORY