Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha!!! Ukija nimeandaa manati nakupiga nayo....... nimeshakuhaidi kuna siku utalia zaidi yangu usinikimbie tu maana unavyojua kukimbia mwezi mzima unajificha.

Yatakuwa machozi ya furaha msimu ujao tutakaponyakua EPL na UCL...oooh I will cry my dear!!!! ...and I will not run!!!

Niite Mcharo!
 
Huna haki ya kumuita mwenzio Stupid kwa kuwa tu ana wa troll hapa

he is just enjoying joking you....huu utani upo JF sports muda tu usilete chuki

Maneno ya utani yapo kila siku humu watu hutaniana....usiwagombanishe hawa ndugu wawili

nahisi utakuwa mgeni wa haya majukwaa lakini #Utazoea tu ni sehemu ya burudani

ila mdada ameichukulia serious sana... Mentor punguza sindano kidogo usiue mgonjwa kabisa ndugu

kaka sikumaanisha kama ulivonielewa, it waz just a joke nashukuru mkubwa mentor kanielewa, am sory for that bro! and am sor for those who misunderstand it, i didnt mean it seriously
 
Last edited by a moderator:
Hahaha bro kashengo naamini hata herrera kaisema hiyo stupid kiutani zaidi lol...kukosa kombe kunauma ujueeee. Kuna kipindi Nzi na Mbu walikuwa wakizozana hapa sisi binadamu tunashangaa ila all in the name of sports...yanaishia hapa hapa.

Having said that ndugu herrera na bi everlenk sitoacha kuja humu kuwa troll hata kidogo hata ingekua ni kwa msimu mmoja tu...hata ukame huanza na kukosa mvua kwa msimu mmoja..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee....

Na bado.

#teamBLUE

nashukuru kwa kunielewa kuwa i didn't mean, footbal is all about peace and joking mpira ndio unanoga, all in all hongereni kwa kuchukua epl ya 5 ambayo ni mafanikio ya mchezaji mmoja tu wa manchester wayne rooney, sasa mna haki yakujifananisha na rooney lakn sio manchester utd
 
Last edited by a moderator:
Yatakuwa machozi ya furaha msimu ujao tutakaponyakua EPL na UCL...oooh I will cry my dear!!!! ...and I will not run!!!

Niite Mcharo!

Hahahaha!!! Thubutu , baby msimu ujao huo ni wangu hakuna mambo ya possession without goal mbona utanipenda.......Mcharo wangu champagne ya kombe letu tunafungulia wapi? London, Paris, USA au kwa mtogole?
 
Teehe teehe tehee heshima yako mtani una roho ngumu kweli ... Bulldog kakimbia kabisa humu siku hizi ananipa motisha sana kuhusu magari

Mkuu sio kwamba nimekimbia. Nipo sana tu mkuu. Sema nakosa cha kusema siku hizi. Mentor na Ntuzu wanasumbua sana siku hizi. Wamechukua ubingwa ila hakuna msisimuko kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!!! Thubutu , baby msimu ujao huo ni wangu hakuna mambo ya possession without goal mbona utanipenda.......Mcharo wangu champagne ya kombe letu tunafungulia wapi? London, Paris, USA au kwa mtogole?

Tumeshawazoea mnasema 'msimu ujao' halafu u dont deliver. Sisi Mou alisema '..next season' na kweli tumechukua! Na akisema next season ni UCL basi ni letu tu hata aje nani...

Kuna togwa my dear...lokesheni nitakujuza privately si unaona kuna viungo wakabaji wengi humu ndani itakuwa tabu kidogo!!!
 
Mkuu sio kwamba nimekimbia. Nipo sana tu mkuu. Sema nakosa cha kusema siku hizi. Mentor na Ntuzu wanasumbua sana siku hizi. Wamechukua ubingwa ila hakuna msisimuko kabisa.

Yaaani kutekenywa tutekenywe sisi...msisimko uupate wewe...how come brother!!!! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Ninachokiona Man U ni hiki kifuatacho:
Ushindi wa Man U mechi 4 mfululizo ulitokea wakati Van Persie hayupo na uwepo wa Carrick.
Hii ina maanisha Fellain na Rooney kucheza namba zao stahiki.

Kinyume na hapo ni kumuona Rooney akirudishwa nyuma na Fellain kupanda mbele kama juzi.

Kitu kingine Van Gaal aache upendeleo katika upangaji wa timu, inawezekanaje kulazimisha Persie acheze dk 90 wakati amekaa benchi muda mrefu au kwa kuwa ni Mholanzi mwenzake. Kama haitoshi unampa kupiga penati mtu majeruhi? Haoni kama kukosa penati ile kulinyong'onyeza timu.

Ninaanza kuamini maneno ya watu kuwa ushindi ktk zile mechi nne mfululizo timu ilipangwa na Giggs.

Hadi leo naamini giggs ni bonge la coach. Sema anakosa experience being as a coach. Miaka mitatu ijayo atakuwa moto wa kuotea mbali
 
Hadi leo naamini giggs ni bonge la coach. Sema anakosa experience being as a coach. Miaka mitatu ijayo atakuwa moto wa kuotea mbali

Hata van gaal alisema giggs wanted to take a lot of risks but he is still learning hopefully he can take my position when I leave.
 
Tumeshawazoea mnasema 'msimu ujao' halafu u dont deliver. Sisi Mou alisema '..next season' na kweli tumechukua! Na akisema next season ni UCL basi ni letu tu hata aje nani...

Kuna togwa my dear...lokesheni nitakujuza privately si unaona kuna viungo wakabaji wengi humu ndani itakuwa tabu kidogo!!!

hahahaha! Naona mshatubatiza na majina kabisa..... Mimi siongei tutaonana next season.

Hewalaaa !!! Lazima tudumishe mila ile wengine wameshindwa.... Togwa mahali yake.
 
hahahaha! Naona mshatubatiza na majina kabisa..... Mimi siongei tutaonana next season.

Hewalaaa !!! Lazima tudumishe mila ile wengine wameshindwa.... Togwa mahali yake.

Baada ya togwa ni kuoga......
Hata waseme vipi Chelsea ni wageni wa vikombe ndio maana wanachonga sana. Acha wajitahidi angalau wafikishe mataji kumi ya EPL maana Wazee wa Old Trafford wakitake off nj mpaka Taji la 40, sidhani kama washabiki wa chelsea walioko hai leo wataliona tena acha walishike kwa mara ya mwisho. Viva Man U wazee wakujaza Makabati kwa vikombe na medals sio hawa wengine vikombe sababu ya uchache wake vimewekwa juu ya meza tu.
 
TOP 20 MOST VALUABLE FOOTBALL CLUBS IN THE WORLD
Club ValueRevenue
1. Real Madrid. £2.13bn £489m
2. Barcelona £2.07bn £431m
3. Manchester United £2.03bn £461m
4. Bayern Munich £1.54bn £434m
5. Manchester City £905m £369m
6. Chelsea. £898m £345m
7. Arsenal. £859m £320m
8. Liverpool. £644m £272m
9. Juventus. £549m £249m
10. AC Milan. £508m £222m
11. Borussia Dortmund £459m £233m
12. Paris Saint-Germain £416m £422m
13. Tottenham. £394m £192m
14. Schalke. £374m £190m
15. Inter Milan. £288m £146m
16. Atletico Madrid. £286m £152m
17. Napoli. £232m £147m
18. Newcastle. £229m £138m
19 West Ham. £203m £122m
20 Galatasaray. £193m £144m

Forbes' most valuable football clubs list revealed and explained

Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...nchester-united-make-three.html#ixzz3ZOxmltoC

Licha ya kukosa UCL mwaka huu, timu kithamani bado ipo vizuri....Real Madrid wameipita United kwa £0.10bn tu....na hapo deal la Adidas halijawa factored in....mwakani itakuwa balaa....pia hata kimapato timu ipo vizuri...ni Real tu ndiye mapato mengi..
 
Timu bado ipo vizuri,pamoja na kukosa nafasi za juu na pia kushindwa kushiriki klabu bingwa tunashika nafasi ya tatu tena kwa tofauti kiduchu na namba 1
 
TOP 20 MOST VALUABLE FOOTBALL CLUBS IN THE WORLD
Club ValueRevenue
1. Real Madrid. £2.13bn £489m
2. Barcelona £2.07bn £431m
3. Manchester United £2.03bn £461m
4. Bayern Munich £1.54bn £434m
5. Manchester City £905m £369m
6. Chelsea. £898m £345m
7. Arsenal. £859m £320m
8. Liverpool. £644m £272m
9. Juventus. £549m £249m
10. AC Milan. £508m £222m
11. Borussia Dortmund £459m £233m
12. Paris Saint-Germain £416m £422m
13. Tottenham. £394m £192m
14. Schalke. £374m £190m
15. Inter Milan. £288m £146m
16. Atletico Madrid. £286m £152m
17. Napoli. £232m £147m
18. Newcastle. £229m £138m
19 West Ham. £203m £122m
20 Galatasaray. £193m £144m

Forbes' most valuable football clubs list revealed and explained

Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...nchester-united-make-three.html#ixzz3ZOxmltoC

Licha ya kukosa UCL mwaka huu, timu kithamani bado ipo vizuri....Real Madrid wameipita United kwa £0.10bn tu....na hapo deal la Adidas halijawa factored in....mwakani itakuwa balaa....pia hata kimapato timu ipo vizuri...ni Real tu ndiye mapato mengi..

In Nzi's speech Rent boy Mentor aka Mcharo wangu naomba apaone hapa.........
 
Tumesuasua miaka miwili bila cha maana. Hatuna kombe, hatuongozi league ila pre season USA tulipata watazamaji 109,000 (rekodi).

Madrid ametupita kwa £20milion kwenye mapato, ametupita kwa .10bilion£ kwenye thamani.

Hapo unaona nini? United is far way a better club, a better team with prospects in the future. Ndo maana sasa hivi tuna malengo ya kuingia top 4 deal la addidas lisipungue.

What if tungekuwa na moto uleule?
 
ImageUploadedByJamiiForums1430988643.655851.jpg
 
Back
Top Bottom