everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Siku zote timu yetu ikifanya vibaya fans huwa tulalamika na kuponda sana...ila kwa hili la juzi wengi wetu tumeshindwa kulalamika badala yake tumeishia kulia tu...yahani majonzi yamekua makali to the extent wengi wetu tumeshindwa onge na kuishia kulia for sure I keep asking myself what went wrong mpaka tumeshindwa hata draw...mi mpaka nimeliota game...wanamanchester wenzangu mi kwa kweli jana nimeumia sana..kwangu imekua hard to swallow
Pole sana Mbeky majonzi Haya si yako peke yako ni yetu sote,hata nami kwa jana lilikuwa zito kulibeba kwa Mara ya kwanza maishani mwangu nilitoa machozi kwa kufungwa..... Inaumiza sana binafsi najiuliza tatizo ni nini ni kocha au wachezaji, kwa style tunayocheza ni kwamba opponent teams wameshatusoma ni ngumu kuchomoa..... Hizi game zote 3 style ni zile zile na tumeshindwa kwa makosa yale yale, najiuliza LVG halioni hili? Je tunapokuwa uwanjani haoni mapungufu yanayojitokeza? Hatuna key players ambao akifanya sub wanaweza badili matokeo? Dah!!! Inaumiza sana......
Last edited by a moderator: