Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Iam Red too......but so discouraged....... Jana kwa Mara ya kwanza toka nifunge ndoa na MANU nimelia tena machozi haswaaaa..... Sijui matusi lakini jana nimeyaporomosha haswaa sijui hata yalikuwa yanatoka wapi.... Dah!! Nimeona hata aibu kwenda church ....dah!! Mungu anisamehe kwa yote......GGMU

Pole sana
 
Asante sana..... Mwenzio jana aaah!!! Ugumu wote uliyeyuka..... Naona wewe unajitahidi bado uko mgumu..... Vipi umetupia jezi yetu.
Mimi navumilia tuu mpenz... natafuta mtu wa kuniuzi nimalizie machungu....
Jezi ni lazma nivae ata iweje
 
Attachments

  • 1430646735706.jpg
    1430646735706.jpg
    38.2 KB · Views: 100
Iam Red too......but so discouraged....... Jana kwa Mara ya kwanza toka nifunge ndoa na MANU nimelia tena machozi haswaaaa..... Sijui matusi lakini jana nimeyaporomosha haswaa sijui hata yalikuwa yanatoka wapi.... Dah!! Nimeona hata aibu kwenda church ....dah!! Mungu anisamehe kwa yote......GGMU

Teehe teeehe teeehe mtani ungeyaporomosha humu ningekuanzishia uzi kule "Bring back everlenk"

Pole wacha me nifurahi wiki hii Kwa kila jambo
 
Last edited by a moderator:
Asante sana..... Mwenzio jana aaah!!! Ugumu wote uliyeyuka..... Naona wewe unajitahidi bado uko mgumu..... Vipi umetupia jezi yetu.

Mimi navumilia tuu mpenz... natafuta mtu wa kuniuzi nimalizie machungu....
Jezi ni lazma nivae ata iweje

Poleni sn ma sports ladies.... Jana kwenu mambo yalikua sio mazuri. Naamini msimu ujao mtakua pouwa maana mengi ya kurekebisha LvG atakua amekwisha yaona. Kikubwa ametimiza malengo ya kuingia top four.
 
Mechi ijayo pale Selhurst park ni balaa, pale kutoka na max point ni balaa.
 
Iam Red too......but so discouraged....... Jana kwa Mara ya kwanza toka nifunge ndoa na MANU nimelia tena machozi haswaaaa..... Sijui matusi lakini jana nimeyaporomosha haswaa sijui hata yalikuwa yanatoka wapi.... Dah!! Nimeona hata aibu kwenda church ....dah!! Mungu anisamehe kwa yote......GGMU

Tatizo mnafunga ndoa za kikristu...mwezako Mimi nipo kwa mkopo Liverpool. Wakiendelea kunizingua naama chama....
 
Poleni sn ma sports ladies.... Jana kwenu mambo yalikua sio mazuri. Naamini msimu ujao ntakua pouwa maana mengi ya kurekebisha LvG atakua amekwisha yaona. Kikubwa ametimiza malengo ya kuingia top four.

Asante sana Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Mimi navumilia tuu mpenz... natafuta mtu wa kuniuzi nimalizie machungu....
Jezi ni lazma nivae ata iweje

Safiii sana hongera sana, mimi leo hapana hapa nina kelele nyingi naweza kummaliza mtu...ngoja nimalize machungu yangu kesho nitatupia......
 
Pamoja sana mamie me too im red forever my pre hubby ni redy na tumeplan kuwa red adi kwenye harusi hehahahahaa
 
Teehe teeehe teeehe mtani ungeyaporomosha humu ningekuanzishia uzi kule "Bring back everlenk"

Pole wacha me nifurahi wiki hii Kwa kila jambo

Hahahahahahaha!! Jana mshukuru SG la sivyo ungekuwa kama mimi.... Ashukuriwe Mungu kuna mdau mmoja alinifukuza kabisa nisiendelee kukaa humu mbona ungeshangaa maana Yale ya jukwaa lenu yangekuwa cha mtoto hadi ban ningepewa,nilivamiwa jana si bure dah!! Nikikumbuka hadi najishangaa....... Furahi mtani wangu kutesa kwa zamu.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sn ma sports ladies.... Jana kwenu mambo yalikua sio mazuri. Naamini msimu ujao mtakua pouwa maana mengi ya kurekebisha LvG atakua amekwisha yaona. Kikubwa ametimiza malengo ya kuingia top four.

Asante sana Ntuzu dah!! Bado kazi ipo point 6 kwetu leo imekuwa ni mlima Kilimanjaro aiseee!! EPL noma imevaa kimini haswaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mamie me too im red forever my pre hubby ni redy na tumeplan kuwa red adi kwenye harusi hehahahahaa

Wahaaaoooo!!!! Safi sana mkicheka mtacheka wote mkilia mtalia wote all the best mumy,wangu Chelsea yaani nakonda kwa kelele hapa si unajua tena watoto wa Mou walivyo na kelele......
 
Asante sana Ntuzu dah!! Bado kazi ipo point 6 kwetu leo imekuwa ni mlima Kilimanjaro aiseee!! EPL noma imevaa kimini haswaa!!!!!

Nishida kwa kweli lkn I hope the team will bounce back again.
 
Last edited by a moderator:
Wahaaaoooo!!!! Safi sana mkicheka mtacheka wote mkilia mtalia wote all the best mumy,wangu Chelsea yaani nakonda kwa kelele hapa si unajua tena watoto wa Mou walivyo na kelele......

Gunners ndio wako Na misemo mingi sn kwasababu wao wanaona ni nafuu kwao km mtapoteza ili gape iwe kubwa ata km wakija kwenu Na mkawafunga msikae juu yao.
 
Wahaaaoooo!!!! Safi sana mkicheka mtacheka wote mkilia mtalia wote all the best mumy,wangu Chelsea yaani nakonda kwa kelele hapa si unajua tena watoto wa Mou walivyo na kelele......

Najua madam Chelsea wana kelele sana......
Vipi ile siku walivyotufunga ulipona kweli? Hahahahaaaa
 
Back
Top Bottom