b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,113
Last edited by a moderator:
Hahahaha!!! Wewe unafikir ningefanyaje kama mtu hataki kuelewa....... Leo vipi mnacheza? Aiseee mpaka nimeitapika na ratiba yote ya EPL....
Am red from the veins of my blood..
I can't stop being red...:thumbup:
Am red from the veins of my blood..
I can't stop being red...:thumbup:
hawa Crystal Palace mechi ijayo mko nao away mjiangalie wanaweza kuwaletea maafa
Kwa kweli wanatishia amani ......Mwenyezi atusaidie
Kwa kweli wanatishia amani ......Mwenyezi atusaidie
You don't need to worry my dear.
Hizi team zingine ndogo ndogo hua zikikutana Na Chelsea inakua vita lkn zikikutana Na timu zingine zinakua nyanya.
Wako vizuri mno wameleta shida sana kwa Chelsea na wakiwa kwao ni wagumu
Hope you wont loose that maana sasa itakuwa ni balaa
You don't need to worry my dear.
Hizi team zingine ndogo ndogo hua zikikutana Na Chelsea inakua vita lkn zikikutana Na timu zingine zinakua nyanya.
Mmmm vita ni yoyote tu wanaekutana nae timu za midtable hazina maana kbs
Kwa style tunayocheza sasahivi kwa kweli mtuombeee jamani......