Masahihisho,
Falcao amechukuliwa kwa mkopo wa £ 6 m sio 20,LVG alikuwa smart sana kwenye usajili huu kama angesajiliwa permanent usajili wake ungefika £ m 50 kwa hiki kiwango kweli tungekuwa tumepata hasara
Di Maria ni flop kama unavyosema but ana assists 10 na amecheza game chache ukilinganisha na Cesc anayeongoza
Luke Shaw kama ulimuona game na Chelsea nafikiri unaweza ukatoa assessment vizuri,dogo atakuwepo United kwa zaidi ya miaka 10 kama Rio hiyo hela aliyonunuliwa itaonekana ndogo sana.Blind amesajiliwa kama kiungo sio full back but ni versatile player anacheza popote kumbuka Carrick umri umekwenda
Mwisho usitake kufananisha financial power ya Arsenal na Man United,tuna ubavu wa kuja kuchukua mchezaji hapo kwenu but hamna ubavu kuja kuchukua kwetu,now mna hela still mmesajili kina Chambers,Wellbeck