DUUH hio kufuru,wala jamaa hana kiwango cha kulipwa hio hela.![]()
The con man has done it! He wanted £300, 000 a week from City,
but if the devils can pay slightly lower than that
... ... it's better to stay with the devil you know. Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Eeeish yani wameniharibia weekend kbs, kweli msimu huu ni mdebwedo!!!..Uwii
Kama kawaida kipindi cha pili tunaachia.
Man Utd 2 - 1 Stoke City
...nipe matokeo kaka, kwema huko?
BJ kimya sana, ushahama team?
Ilo goli si mchezo, huyo jamaa namkumbuka alitupiga bao wakati yuko Parnabahce.Ebwana hili goli la Tuncay nomaa.
Taratibu nishasogea, uongo si kazi mie naomba mtoe draw na Citeh tu leo....Hongereni wakuu.karibuni kuangalia mechi yetu in 30 minutes.
Ferguson kaniudhi sana hivi kunahaja gani kuendelea kuwapanga Oshea na Garry Neville.Oshea kutoa pasi mgogoro Gerry Neville alistahili red card.
Moja ya sababu kubwa alizotoa Rooney ni kusajili wachezaji wa kimataifa jambo ambalo wamiliki wamekubali kulifanya.Ronaldo na Tavez walipoondoka hapakuwa na usajili wa maana kuziba mapengo yao.Manchester United lazima isajili kiungo mkabaji kuendelea kumtegemea carrick,mgonjwa Owen Hargreaves,Mzee Paul S na Anderson asiyeweza kumaliza dakika 90 ni kuirejesha Man nyuma kama ilivyo kwa Liverpool.
Sasa Ataivaa tena kwa madaha kweli..!...Kuna jamaa yangu juzi kanunua jezi yenye jina la Rooney sijui ataiweka wapi.
Full Time
Manchester United 3 - 2 Wolverhampton Wanderers
Bebe 56'
Park 70'
Chicarito 90'
Huyu kijana wa ukweli sanaNaona Chicarito anawatoa sana .