unasahau haraka
msimu wa yote tunachukua ubingwa manchester united ilikuwa club tishio sana
mwaka 2002 nakumbuka Manu waliambulia nafasi ya 3 liverpool chini ya Gerlad Houriel wakapambana mpaka nafasi ya Pili
mwaka 2004 "The invicible" season chelsea pesa walishamwaga crespo,veron,Joe cole,duff, Geremi, Terry, Gallas bila kusahau walikuwa na super season wakamaliza ligi kwa kishindo wakiwa wa pili manure nafasi ya 3
Ushindani upo masiku yote sio rahisi kwa Arsenal kama wangechukua ubingwa kuanzia 2005 baada ya kuondoka Patrick vieira timu yao siku zote ilikuwa incomplete na kuondoka key player kila mwisho wa msimu......rebuliding was an endless process there Credit kwa Arsene Wenger kwa mazingira yale aliyopotia ya kuondoka KEY PLAYERS wakati fulani wawili ndani ya Transfer window sio kazi rahisi
imagine 2007-2008 Msimu ambao Arsenal Walipambana na Manu ambayo in my opinion ni BEST i ever watched hata ile ya 99 sioni ikiifikia hii ya Tevez,rooney na CR7 na Vidic
lakini End of Season Flamini+ Hleb ambao ni Top perfomers wanaondoka....Its a patch road to pass my friend
20011-2012 Cesc+ Nasri wote wanaondoka dakika ya mwisho
next wimdow RVP+SONG
huo ubingwa angeuchukua angekuwa MAGICIAN maana timu ikikosa stability huna utakachobalia may be a Top 4 finish at maximum
nachoweza kusema...kuwekeza pesa nyingi inaleta makombe sawa lakini sio lazima sana cha msingi ni kuwekeza Kwa akili
Liverpool katika season 3 nafikiri wanaweza kuwa wametumia £250mil hivi na tunajua majanga yao
Man city wametumia pesa nyingi sana na sasa wana Ageing Squad na wanalazimika kusuka timu upya sioni wakikaa sawa ikiwa watalundika wachezaji wengi katika transfer moja wanakuja kuhit gear ligi iko katikati
Kushinda League alafu sio tu kuwapiga vigogo peke yao its all about Totall collection of Points lakini pia ujue kucheza na kutopoteza games kubwa
Belo lats be realistic Arsenal hii inahitaji TWO top players to start beating big clubs and dominate maana vitimu vidogo (ukiweka pembeni stoke city) wanapiga sana wanachukua sana points kwao
its a simple strategy kuwekeza in DM and a Top striker
mi nakubali i cannot see wenger lifting a UCL trophy iko too tricky na kama alishidwa na invicibles sasa hawezi tena