Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwenzako akinyolewa wewe tia maji......jamani eee LFC ndo hao washapunguzwa kasi yao,iliyobaki tukazane sasa vipigo vya hizi wiki mbili inatosha sasa.... West Bromwich haooooooooo tusiwapuuzie jamani hizi timu zimeamua sasa hapa mwishoni kuziaibisha timu kubwa...... Kwako LVG plizzzzzzzzzzzz I need only 3 points don't let me down.......... I hope you will do so.......GGMU
 
HaHaHa kumbe leo kwenye EPL kulikuwa na mechi za vitimu vidogo vidogo

Nipo busy kuangalia ligi ya Spain mpaka nilipoona post yako hii ndio nikajua kulikuwa na mechi leo EPL

HaHaHa hao jamaa They will never walk again ..... asante sana Hull City

Hata Majogoo sasa yanajua kabisa hayawezi kuifunga Hull City

cc Malafyale
 
Last edited by a moderator:

Mm na ww ni neck to neck

WBA humfungi hapo kwako week hii
 
Last edited by a moderator:
Mm na ww ni neck to neck

WBA humfungi hapo kwako week hii

Mkubwa

Kweli hii unaiita ni neck to neck ?

Capture.PNG

Nilikuuliza unakumbuka tarehe kumi mwezi ujao mtakuwepo wapi?
 
HaHaHa kumbe leo kwenye EPL kulikuwa na mechi za vitimu vidogo vidogo

Nipo busy kuangalia ligi ya Spain mpaka nilipoona post yako hii ndio nikajua kulikuwa na mechi leo EPL

HaHaHa hao jamaa They will never walk again ..... asante sana Hull City

Hata Majogoo sasa yanajua kabisa hayawezi kuifunga Hull City

cc Malafyale

Aibu mtu wangu acha!! Leo majogoo chaliii .....tukemee zimwi la kufungwa liishie huko huko Anfield.......Spain washabikia timu gan?
 
Last edited by a moderator:
💃💃💃💃💃💃💃👉👉👉
 
Majogoo naanza kuona dalili sio tuu kuwa hawatacheza Champions League bali hata Europa Hawataiona
Malafyale hii ndio neck to neck

Capture 2.PNG

Na bado Majogoo wana mechi za kufungwa bado zipo na hata wao wanajua kuhusu jambo hilo

HaHaHa.... Spain ? mimi ninapenda Man Utd tuu... Spain ninaangalia tuu mpira ... ILA kidogo nina kiaina fulani kuifagilia timu unayoipenda wewe huko Spain : sababu yule kocha mropokaji wa darajani aliifundishaga ile timu nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Majogoo naanza kuona dalili sio tuu kuwa hawatacheza Champions League bali hata Europa Hawataiona
Malafyale hii ndio neck to neck

View attachment 247707

Na bado Majogoo wana mechi za kufungwa bado zipo na hata wao wanajua kuhusu jambo hilo

HaHaHa.... Spain ? mimi ninapenda Man Utd tuu... Spain ninaangalia tuu mpira ... ILA kidogo nina kiaina fulani kuifagilia timu unayoipenda wewe huko Spain : sababu yule kocha mropokaji wa darajani aliifundishaga ile timu nyingine.

Siyo siri hali ya kaka yangu ni mbaya tumuombee afarijiwe japo kwa Europa aione tu nitampoteza kaka yangu jamani.......

Hahahahaha!!! Ntuzu akikusikia baba yake wamuita mropokaji atakumaliza, hujaona huo mpambano wao wa watoto wa Wenger na watoto wa Mou....
 
Kaka yako mpaka atakapoacha kutaka kuzuia mafuriko kwa mikono ndio tutamsamehe

Huyo baba yake Ntuzu simkubali kwenye vitu vingi ila kuna vitu akisema kama hivi ninakubaliana naye

  • "You support the club and you're waiting, waiting, waiting for so many years without a Premier League title, so that's very boring.

Hii msg inawafaa sana Arsenal aliowalenga na timu ya kaka yako
 
Huyu Malafyale ni wa kumuonea huruma tu!
 
Last edited by a moderator:
Hajawahi kutafuta wala kutamani kazi huko maana huko hakutamwezesha kufikia malengo yake (mataji) huko ni saizi ya akina moyes!

Hahaha wakati babu yupo ukingoni morinho alikuwa wa kwanza kupendekezwa na mashabiki ila united hata hawakumuweka kwenye shortlist
 
Sasa mbona mnajaza space ya Manu nyie watu wa Mourinho ma Wenger?? Kajazeni server zenu, sio hapa kwa Manu!

Mkuu kuwa makini,kuna siku nilisema hivyo kuna mtu alikuja juu hapa utafikiri kitu gani sijui! Its simple logic arsenal vs Chelsea discussion should take place in arsenal or Chelsea thread!

Hakatazwi mtu ni angalizo tu!
 
Zanzibar wanasajili hadi mashabiki. Tumchukue Malafyale aje kushabikia united. Huko Liverfluke ni hasara tupu bora aachane na mpira.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kweli Special One aliangua kilio kwa kutoswa kuchukua mikoba ya babu?!
http://www.theguardian.com/football/2013/sep/26/jose-mourinho-cried-manchester-united

Hii taarifa sio ya kweli mkuu.According to Mourinho ni kwamba Ferguson alimpa taarifa za kwamba anastaafu ikiwa ni mwezi mmoja kabla SAF hajatangaza rasmi.Mourinho anasema alipopewa taarifa alishukuru kwakua alikuwa ni mmoja kati ya watu wachache waliopewa hiyo taarifa.

Pia alisema alimuelezea SAF kuwa endapo angerudi England ni sehemu moja tu anaweza kwenda.
 
Mkuu vitu vingine unapotezea tu...kwasababu Mourinho yeye ndie hakuhitaji kwenda Man Utd ingawa ManU walikua tayari kumpa timu Mou! Sasa mtu anaposema kwamba Jose alilia unabaki unashangaa tu ndio maana Mimi nimemwambia chaguo lao zuri lilikua David Moyes😀
 
Back
Top Bottom