Pogba lilikuwa kosa kubwa acha tu,kutoka moyoni niliumia sana alivyoondoka. De Gea Madrid wanamzingua sana kama anaona bora asepe wacha aende tu, kila jambo na majira yake katufaa wakati uliokuwa mbaya yatosha na sisi tutakuwa tumeimarika hasa majira ya joto tukifanya usajili mzur.
Mkuu hapo kwenye nyekundu naomba kutofautiana na wewe, unakumbuka De gea alipokuja alivyokua anachechemea mpaka wakaanza kumdoubt ila taratibu akaanza kuingiza gear kubwa kubwa mpaka sa hivi ni top classic. Hatuwezi fanya michezo ya Arsenal ya kuzitengenezea timu kubwa wachezaji, kwa gharama yeyote dogo abaki kama alivyofanywa Rooney.
Kumbuka alivyoondoka Schmiechel tulivyostruggle kupata mbadala wake, Mungu saidia tukampata Van der sar baada kuangaika na magalasa mengi, right now tumempata huyu dogo ambae kabisa anauwezo wa kuvaa viatu vya hawa jamaa we can let him go kwa kweli, wakati huu sio wa kuanza kujaribu wachezaji tunasuka kikosi especally back players.
Ni kweli mkuu ulichosema ni sahihi kabisa, uongozi umejitahidi kumlinda kwa kumpa dau kubwa na akiaccept the offer atakuwa ni kipa anayelipwa zaidi England na kama siyo duniani(nisahihishe kama nakosea) hilo ni jambo nzuri sana, lakini kama LVG alivyosema bado mwenye maamuzi yote ni DDG mwenyewe abaki au aondoke. Kama DDG akakataa offer akaamua kusepa unafikir tufanyaje zaidi ya hilo? Ipo hatari pia ya kulazimisha mchezaji abaki atakuwa anafanya madudu tu na kuwa mzigo kwa timu. Mimi naona asilazimishwe kama hataki....... tutainuliwa tu Musa mwingine.
Same old story ten years and counting ..
mkuu umeanza kuwa chelsea fan mwaka gani? mbona imekuuma sana?
nina wasiwasi utakuwa hauna 3 years as a Chelsea Fan
khekhekhekheeeeeeeee
#Teamgloryhunter #mkaangasumu
Ushindi tu ndo somo litaeleweka kwani liver kashinda dakika za mwisho
Full time man u 3 wb 1