Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hehehe nimeipenda Hiyo DonDonald joke yako, naona kila mkifunga goli mnashangilia utafikiri ligi tehtehteh! Sio mbaya ka small team cha chini ya top 5 kimeshinda! Ok nje ya joke! Man United kati wamebadilika na hasa nimependa Luke Shaw touch zake na anavyokimbia na mpira ila kuna mengi wanatakiwa kufanya bado United ila United waliisukuma LFC ndani ya Box zaidi vizuri na kuwachezesha Striker wenu wawili kwa pamoja na tofauti nyengine LFC imecheza vizuri Back na Middle ila ukweli safari hii utakuwa pale pale bila Suarez bila Real Striker magoli yatapotea ila LFC japo imefungwa hakucheza vibaya tofauti umaliziaji na Man United kati Herrera ametulia ila wingers wa kweli mnahitaji na sie strikers!
 
Asante kwa kuongea kama mtu wa mpira na siyo mnazi wa Liverpool.

Kudos.
 
Kuna #WakaangaSumu watabeza...wakati United ilivyocheza katika ICC ni kiashiria kizuri cha namna gani confidences za wachezaji na timu zimerudi...

Bit the hell out of the #Scousers

Bring on the #EPL

Jana nilipita katika thread ya mojawapo ya vitimu vya EPL hapa JF nikaona wanapeana moyo na kuibeza Timu Kubwa UTD ,kuwa inajisifia kuifunga Madrid kwenye mechi ya "kirafiki".

Kuna wengine kwenye hizo hizo mechi za "kirafiki" nusu wampige refa kwa kusema kawanyima penati.

Msimu huu lazima tutaheshimiana tuu mitaani.
 
Hehehe nimeipenda Hiyo DonDonald joke yako, naona kila mkifunga goli mnashangilia utafikiri ligi tehtehteh! Sio mbaya ka small team cha chini ya top 5 kimeshinda! Ok nje ya joke! Man United kati wamebadilika na hasa nimependa Luke Shaw touch zake na anavyokimbia na mpira ila kuna mengi wanatakiwa kufanya bado United ila United waliisukuma LFC ndani ya Box zaidi vizuri na kuwachezesha Striker wenu wawili kwa pamoja na tofauti nyengine LFC imecheza vizuri Back na Middle ila ukweli safari hii utakuwa pale pale bila Suarez bila Real Striker magoli yatapotea ila LFC japo imefungwa hakucheza vibaya tofauti umaliziaji na Man United kati Herrera ametulia ila wingers wa kweli mnahitaji na sie strikers!

Mshambuliaji si mmemnunua Lambert, au hafai? kama vp mrudisheni Caroll

Kwani Gerald alipofunga penalty hamkufurahi?

Fletcher alificha mido za liverpool lol, nitakuwa mtovu wa adabu kama nikimzungumzia Herrera alichokuwa anafanya leo
 
Back
Top Bottom