Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kiboko cha big four -the bluees, nyie wote(Man, liver, aser,city) mtaendelea wateja wetu mpaka mourinho atakapoondoka.

Ukipambana sana na Big four mwisho wa siku utaumia na utabaki kuona wenzio wanabeba vikombe tu. Hii tabia alikuwa nayo Liver, spurs japo hana ubavu kivile na sasa Chelsea. Ukipambana sana na big 4 hawa wadogo watakuvuruga tu maana una base kwenye mifumo ya timu kubwa then ndogo zinakuzingua.
Na siri ya ubingwa ni kwamba kwatimu ndogo hakikisha unachukua point nyingi sana iwezekanavyo. Chelsea alishinda mechi zake zote na big 4 au big 5 lakini ajabu akawa wa 3 na hata bila kikombe.
Think twice.
 
Man united msipate tumaini kuwa mtashinda kombe msimu huu yaani hamtapata kitu
 
5 Games Win All 5
Goals scored 16
Beat LA>RoMa>Inter>R.Madrid now Liverpoor.....

Hakuna team ndogo hapo...
Embu na wewe wowowo fc na ass anal weka zako tuoneeee....

Poor haters na Bado tutawapigaa baraabaraa....GGMU
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
5 Games Win All 5
Goals scored 16
Beat LA>RoMa>Inter>R.Madrid now Liverpoor.....

Hakuna team ndogo hapo...
Embu na wewe wowowo fc na ass anal weka zako tuoneeee....

Poor haters na Bado tutawapigaa baraabaraa....GGMU

Na magoli matatu yote yakufungwa yote kwa matatu na moja limepingwa kwa mbali sana.........lakini najua wanakubali moyoni ila mdomoni ndio hivyo.....mwaka huu ni cocacola kwa popcorn kwa kwenda mbele
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Man u itakamata nafasi ya 7 mwaka huu maana hamna depth pale kabisa!Waliocheza ndiyo hao hao bora!

Origi;Lallana;Enrique;Manquillo;Markovic;Lovren;Flano;Stur na Moreno wote wapo nje leo na inakuonyeaha hapo jinsi Liverpool ilivyo mwaka huu!

Man U ikicheza hivi mechi ya kwanza hata na Aston Villa basi Benteke ataondoka na mpira wake kwa hat trick

Unahesabu wachezaji ambao hata hawajachezea Liverpool,Origi,Lalana,Moreno,Lovren,Manquillo umewahi kuwaona angalia wasije kuwa kama Cisocko,Aspas,Moses,Alberto,Sakho

Umesahau Rafael,Carick,RVP hawakuwepo game ya jana.Kocha amerudisha confidence ya wachezaji,siku zinavyokwenda tunaimprove
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Unahesabu wachezaji ambao hata hawajachezea Liverpool,Origi,Lalana,Moreno,Lovren,Manquillo umewahi kuwaona angalia wasije kuwa kama Cisocko,Aspas,Moses,Alberto,Sakho

Umesahau Rafael,Carick,RVP hawakuwepo game ya jana.Kocha amerudisha confidence ya wachezaji,siku zinavyokwenda tunaimprove

Mkuu
Fundi wa soka ni fundi tu hata achezee team gani!Akina Lallana ni mafundi watawika tu pale!
Ligi bado week moja tu ianze tusiongee mengi
 
KUWENI WAPOLE

(MAN UTD IS BACK)

MAMBO YALIKUA HIVI
LA Galaxy 0-7 Man utd
Man utd 3-2 As Roma
Man utd 0-0 Inter milan
(penalt 5-3)
Man utd 3-1 Madrid
Liverpool 1-3 Man utd

⇨Michezo 5 tumeshinda yote



Tumefunga Magoli 16, tumefungwa manne.

we are unbeatable, unstopable, untouchable

NAFASI YETU MSIMU MJAO
⇨ Ni bora kua na nahodha mzur na meli mbovu mtafika mnakoenda kuliko kuwa na meli nzuri nahodha mbovu hamfiki popote

⇨ Pili watu mnakua wavivu sana kufikiria, mnashindwa kutofautisha kati ya David Moyes na LVG, mnashindwa kujua kua NEXT SEASON TUNAANZIA O POINTS WOTE, yani tunaanzia sifuri, kuna jamaa mmoja anakazana kuniambia ili tuchukua ubingwa we have to better than hao waliomaliza juu yetu kwanza, hivi tunaenda kuanza ligi tukiwa nafasi ya 7? tunaenda kuanza ligi liverpool akiwa mbele yetu point 20 au? Je kuna yeyote kati yenu anaeweza kusimama na kusema anauhakika timu yake itachukua hata point moja kutoka kwa man utd? Mimi nasimama kwa upande wa man utd, tunapiga wote ndan nje [ liverpool, arsenal, chelsea, man city]

Furaha yangu ni kuona jinsi ambavyo Ashley Young karud katika kiwango, he is untouchable, winger tereza, Adnan januzaj kaz anayo, hapati namba kwa Young, i see something kwa tom cleverley,

Tatizo lililopo saiv n hawa beki line zetu, katika goli 4 tulizofungwa 3 ni penalt, hatujafungwa goli la mov hata moja, tunahitaji kiongoz pale nyuma, wale jamaa bado hawawez kujiongoza

Makombe yote msimu ujao yatatua OT

Via Unazi dot com
 
Ndio tumeanza kubeba ndo kama ulivyo utaratibu wetu hakuna cha AS Roma,Intermilan.Real Madrid wala Looserful wote ni kichapo mtindo mmoja.

article-2716154-2042A69B00000578-756_634x533.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Huyu dogo ni balaa anapokaribia goli makipa wanamwogopa sana.
article-2716154-2042A48A00000578-548_634x479.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
We won against LA Galaxy........It was a small club We won against AS Roma......It was just a friendly We won against Inter Milan.....It was just on penalty We won against Madrid.......Ronaldo didn't come in on time We've finally beaten Liverpool.......Maybe their goalkeeper forgot to drink his coffee before the match.... Haters why can't you accept Glorious UNITED!!! ImageUploadedByJamiiForums1407248769.597819.jpg ImageUploadedByJamiiForums1407248800.962602.jpg ImageUploadedByJamiiForums1407248827.855885.jpg
 
5 Games Win All 5
Goals scored 16
Beat LA>RoMa>Inter>R.Madrid now Liverpoor.....

Hakuna team ndogo hapo...
Embu na wewe wowowo fc na ass anal weka zako tuoneeee....

Poor haters na Bado tutawapigaa baraabaraa....GGMU

Mwenye akiki hatabisha tena,ila kuna watu humu vichwa nazi
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mkuu
Fundi wa soka ni fundi tu hata achezee team gani!Akina Lallana ni mafundi watawika tu pale!
Ligi bado week moja tu ianze tusiongee mengi

Makelele yenu meng sana tulianza na l.a galaxy mkasema marekani hamna mpira wakafuata roma mkasema na italia ndo walewale,mkasema kwa r.m hatutoki tukamtungua mkasema subirin liver nae tumtungua mnasema friend match hyo tusubir lig ianze,na ikishaanza sijui mtasingzia nn iishe cjui
 
Huo ndio ukweli sababu nitawaambia siku nyingine af mmenifunga kamechi ka warm up mnachooooooooooooooooooooooonga sasa hata uefa mnaiskia magazetini
 
Hawawezi kuwa mabingwa kirahisi hivyo..itawachukua miaka mingi sana kurudi kwenye peak
 
Back
Top Bottom