Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1429875937.636445.jpg
"Winga machachari wa klabu ya PSV Eindhoven, Memphis Depay amewasili jijini Manchester kwa ajili ya kuanza mazungumzo na klabu ya Manchester United. Depay ametua jijini Manchester Mara baada ya kutwaa tuzo ya mfungaji bora wa ligi ya Uholanzi.
ImageUploadedByJamiiForums1429876053.594874.jpg
Depay anategemewa kusainiwa kwa ada ya £25Mil.
ImageUploadedByJamiiForums1429876101.512850.jpg
© http://metro.co.uk/2015/04/23/memph...-ahead-of-manchester-united-transfer-5164555/
 
Umesahau ulikuwa unatamba kuwa Utd hawawezi hata kupata draw na Spurs, kuwa Utd wanajua kuwa Majogoo lazima yashinde Anfield.... nikumbushe ikawaje matokeo?

Sasa umeanza kutuambia mechi za ugenini tunazocheza.... hivi unajua tarehe 10 mwezi ujao mnacheza wapi na nani? hahahhaha

Mkuu hebu nikumbushe hiyo tar 10 sio watakuja darajani?
 
Chelsea hawezi nifunga,uwezo wa Chelsea umepungua sana na Man U alinifunga sababu ya SG

Kumfunga kibonde Man City kuliwadanganya sana

Chelsea ni kibonde,
Man United ni kibonde,
Man City ni kibonde,
Liverpool ni kibonde zaidi
 
View attachment 246352
"Winga machachari wa klabu ya PSV Eindhoven, Memphis Depay amewasili jijini Manchester kwa ajili ya kuanza mazungumzo na klabu ya Manchester United. Depay ametua jijini Manchester Mara baada ya kutwaa tuzo ya mfungaji bora wa ligi ya Uholanzi.
View attachment 246353
Depay anategemewa kusainiwa kwa ada ya £25Mil.
View attachment 246354
© http://metro.co.uk/2015/04/23/memph...-ahead-of-manchester-united-transfer-5164555/

Huyu kijana ni mwiba dili likifanikiwa tutakuwa tumelamba dume.
He is just 21 years na anatisha mbaya.
Check vitu vyake hapa chini

https://youtu.be/MiRW90BBv_o
 
Hii ndio ingekuwa jezi nzuri
 
Attachments

  • 1429905848154.jpg
    1429905848154.jpg
    47.9 KB · Views: 108
Kuna habari kuwa Ilkay Gundogan amekubali kutua Man United

Yeah mkuu...!! Ile time Ya Woodward Kuanza Kufanya Yake. Habari Iliyoshika Kasi Hivi Punde Katika Sources Mbalimbali Za Kuaminika Kama Sky Sports Na Nyingine Za Ujerumani Ni Kuwa Ilkay Gundogan Yuko Karibu Kujiunga Na Man United.
#WatchThisSpace
ImageUploadedByJamiiForums1429908429.171100.jpg
#GGMU
#WakaangaSumu wanaweza kufa kwa presha hiyo next season 🙌🏽🙌🏽
© http://www1.skysports.com/football/news/11667/9820923/ilkay-gundogan-close-to-manchester-united-move
 
Kuna habari kuwa Ilkay Gundogan amekubali kutua Man United

Nimeisoma kwa sky sports sasa hivi ila clause deal haijawekwa wazi bado. Pia clyne nae yupo kwa mazungumzo na united. Hummels next week ataanza mazungumzo ila sasa hivi wakati tunaongea Depay yupo kwenye mazungumzo na United.

Pundits wanasema endapo deals zote zitakubalika basi squad ya United itakuwa kama ifuatavyo:

ImageUploadedByJamiiForums1429908935.275244.jpg

Binafsi nitafurahi rooney akawekwa pale mbele na Ikay akapata msaidizi cause he's too prone to injuries
 
Back
Top Bottom