Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah!! Isiwe hivyo wafanye arudi The United tu.

Dalili za CH14 kurudi Utd ni chache sawa na Tom Claverley kurudi Utd baada ya loan yake kuisha huko Villa

Philosophy ya LVG inaonekana haiwakubali na kuendana na uchezaji wao.

NB: haya ni maoni yangu kutokana na ninavyoona LVG anavyowachukulia wachezaji hao
 
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa Prof kila mwaka anasema next season itakuwa bora kwa timu yake.... ila hiyo next season hatuioni kufika.. ohhh labda anamaanisha target yake ya kucheza CL

Wakina Malafyale na Pazi msimu ujao wajiandae kisaikolojia kucheza na timu za Belgrade kwenye Europa

Prof, sikumbuki kusema timu itabeba kombe ni msimu huu(nadhani Desember au January) kasema kuwa within 3 seasons tutalibeba. Wapenzi wa Liverpool ndiyo wanasema msimu ujao ni wao miaka 20 na kitu sasa.
 
Ulisema mnakaribia kuchukua kombe : Nikasema maneno haya hata Prof anayatumia pale Arsenal ikivurunda, ikivurunda nikiwa na maana wanaweza kuwa nafasi ya kwanza mpaka december tena kwa kucheza vizuri kila mtu anakuwa anahisi mwaka huu kipofu anaweza kuona mwezi.

Baada ya january wanaanza kwenda kwenye nafasi yao waliyoizoea , hapo sasa ndio Prof anaanzaga na misemo yake kuwa vijana ni bado wachanga ilawanakuwa vizuri anategemea next season itakuwa nzuri zaidi {kwa maana nyingine kuwa msimu ujao hawatafanya makosa hayo}

Yeah kama ahadi za mashabiki wa Liverpool, walisema sana kuhusu hizo ahadi tangia Giggs akiwa na miaka 16 mpaka leo ana miaka 41 kombe hawajalipata.
 
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa Prof kila mwaka anasema next season itakuwa bora kwa timu yake.... ila hiyo next season hatuioni kufika.. ohhh labda anamaanisha target yake ya kucheza CL

Wakina Malafyale na Pazi msimu ujao wajiandae kisaikolojia kucheza na timu za Belgrade kwenye Europa

Mm nacheza CL mwakani
Red Star Belgrade watacheza nayo ama Man U au Man City nafasi ya 5 huko
 
Last edited by a moderator:
Mm nacheza CL mwakani
Red Star Belgrade watacheza nayo ama Man U au Man City nafasi ya 5 huko

Kusema ukweli wewe unafaa sana jeshini na hospitalini, unaweza sana kupandisha morali ya watu walioshakata tamaa

Eti Liver watacheza CL hahahahahaha

Hata nyie sasa mnajua kabisa kwa mziki wa Chelsea Man Utd Arsenal Man City ..... Liver... CL watasubili sana kucheza CL
 
Utaanza badili maneno yako week hii

Man U ana games na Everton na Palace ugenini

Man City yupo ns Spurs na Soton

Majogoo tunscheza CL
 
Umesahau ulikuwa unatamba kuwa Utd hawawezi hata kupata draw na Spurs, kuwa Utd wanajua kuwa Majogoo lazima yashinde Anfield.... nikumbushe ikawaje matokeo?

Sasa umeanza kutuambia mechi za ugenini tunazocheza.... hivi unajua tarehe 10 mwezi ujao mnacheza wapi na nani? hahahhaha
 
Dalili za CH14 kurudi Utd ni chache sawa na Tom Claverley kurudi Utd baada ya loan yake kuisha huko Villa

Philosophy ya LVG inaonekana haiwakubali na kuendana na uchezaji wao.

NB: haya ni maoni yangu kutokana na ninavyoona LVG anavyowachukulia wachezaji hao
Tom Cleverly kurudi msimu ujao hiyo asahau....CH14 anaweza kuwa msaada kwa LVG hasa ukiangalia possibility yakucheza mashindano mengi msimu ujao. Kiasi ambacho Lvg anahitaji kuwa na Depth kubqa ya kikosi
Kumbuka hat kama atasajili basi nguvu nyingi ataweka kwenye backline replacementbwa Carri16
Straiker kama mnavyona Falc9 kuna uwezekano asibaki
Addition ninayoiona mimi itafaa ni Ikay Gundogan replacement wa Carr16 , Hummel , Depay (Januzaj out on loan) , Nani amekuwa na msimu mzuri na CP sporting mchngo wake pia utahitajika...addition ya straiker moja pia itakuwa poaw
 
Umesahau ulikuwa unatamba kuwa Utd hawawezi hata kupata draw na Spurs, kuwa Utd wanajua kuwa Majogoo lazima yashinde Anfield.... nikumbushe ikawaje matokeo?

Sasa umeanza kutuambia mechi za ugenini tunazocheza.... hivi unajua tarehe 10 mwezi ujao mnacheza wapi na nani? hahahhaha

Chelsea hawezi nifunga,uwezo wa Chelsea umepungua sana na Man U alinifunga sababu ya SG

Kumfunga kibonde Man City kuliwadanganya sana
 
Yaap ni kibonde
Hata Liverpool ile ya Baloteli iliwafunga
Lakini ndio nyie nyie mlikuwa mnasema hatutoki hata mechi. Moja katika hizi
Spurs (win )
Liverpool (win )
Aston villa (win )
Man city (win )
Chelsea (lose )
 
Ku win kwenu kumeisha
Mnarudi sasa kwenye nafasi yenu ya mwaka jana
 
Chelsea hawezi nifunga,uwezo wa Chelsea umepungua sana na Man U alinifunga sababu ya SG

Kumfunga kibonde Man City kuliwadanganya sana
SG aliwafungisha mechi zote mbili?
Kama na zile bao 4 za chapchap za Arsenal zilitokana na SG basi SG akiondoka lazima timu ishuke daraja.
 
Back
Top Bottom