JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Bado haijawa sokoni ndio ime-leak hivi karibuniAisee..ipo tayari sokoni?
Leo ni leo msema kesho mwongo nitabirie basi EVERTON kuzabwa mangapi?
Safiii,safi sana itabidi kabatini wakufanyie mpangilio mzuri maana naona kabisa makombe mengine yakiingizana kwa fujo msimu ujao.......
Hahahahaaa privacy bhana....huo mlango Wa Chelsea Zombi amekuta basi sio? Hahahaaa
Sawa cute b lkn mmeshindwa kumwaga damu ktk huo mlango.
Kwan bac linadamu? Tungekuta wa2 tungechinja2, xaxa baada ya kuona bac tukaamua tuwapotezee2, xema Kwa kuwa mnaleta jeuri tukirud mcmu ujao tukikita wa2 tunanyonya damu, tukikuta bac tunalipua
Na Yale yesu aliyoyatoa Kwa binadamu Na kuyatupia Kwa nguruwe yalikuwa ni mabasi au, soma biblia kidogoKwani jini linaweza kuingia kwenye banda la kitimoto?