Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ningefurahi zaid wakaweka na Nyeupe iwe kwenye list ya jezi official za msimu ujao.

Binafsi napenda jezi nyeupe hata kanisani unaivaa tu 🏃🏃🏃🏃

Hahahaaaa...!! Bulldog eti "hata kanisani unaivaa tuu" 😂😂
 
Last edited by a moderator:
Nimeisoma kwa sky sports sasa hivi ila clause deal haijawekwa wazi bado. Pia clyne nae yupo kwa mazungumzo na united. Hummels next week ataanza mazungumzo ila sasa hivi wakati tunaongea Depay yupo kwenye mazungumzo na United.

Pundits wanasema endapo deals zote zitakubalika basi squad ya United itakuwa kama ifuatavyo:

View attachment 246506

Binafsi nitafurahi rooney akawekwa pale mbele na Ikay akapata msaidizi cause he's too prone to injuries

Nafasi ya Ilkay kumbuka Carick bado yupo na hata kiraka Blind anaweza cheza hapo
 
Hahahaaaa...!! Bulldog eti "hata kanisani unaivaa tuu" 😂😂

Enzi za chuo watu walikuwa wananiita yule kaka wa manchester. Mnake nlikuwa nauza jezi za man utd, nikiona msimu unakaribia kuisha na zimebaki nazivaa mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Haka kajezi kana meremeta

Miaka ya karibuni nimekuwa mpenzi wa jezi za Adidas kuliko Nike,angalia jezi za Chelsea na Real Madrid zilivyokuwa nzuri.Kuanzia AON na Chevloret sikuzipenda kabisa
 
Imebidi nikaedit wikipedia sasa

ImageUploadedByJamiiForums1429910572.122959.jpg
 
Miaka ya karibuni nimekuwa mpenzi wa jezi za Adidas kuliko Nike,angalia jezi za Chelsea na Real Madrid zilivyokuwa nzuri.Kuanzia AON na Chevloret sikuzipenda kabisa

Nike hawajaweza kuremba jezi zao zikavutia. Japo siipendi liverpool ila had leo nina jezi yao ile nyeupe
 
Safiii,safi sana itabidi kabatini wakufanyie mpangilio mzuri maana naona kabisa makombe mengine yakiingizana kwa fujo msimu ujao.......



Msimu ujao utakua ni mgumu sn...alafu LvG ameshajifunza kitu ktk EPL hasa ukiangalia michezo aliyopoteza ni ktk vitimu vidogo vidogo kitu ambacho msimu ujao hatorudia hayo makosa.

Kutakua Na upinzani sn msimu ujao
 
Back
Top Bottom