Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
hakuna timu ya england itakayokuja emirates afu ikae na mpira...wote wanaokuja emirates huwa wanaishambulia arsenal kwa counter
Subiri j2 uje uone...umesaha msimu uliopita ktk FA tulikuja hapo tukakuchapa mbili bila na mpira mlikua mnautafuta kwa kibatari.....mnasahau eehe? Ngoja tuje.