everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
For real!???? Ungetegemea Arsenal atufunge??
Soka mchezo wa ajabu inaweza kutokea....anaweza akawaotea tu wapi pamekaa vibaya wakamaliza ndo maana tunasema 90 kama siyo 93 mins zinaongea.
For real!???? Ungetegemea Arsenal atufunge??
Hahahaha !! Sali sana na ufunge isitokee nitakuwa msaga sumu wao wa kukodi kwa muda.....
Asanteeeeeee kwa zawadi ya Jezi lakini naomba katika hiyo Jezi uiprint picha kubwa ya basi la Chelsea na wachezaji wake pamoja na baba yao Mou ionyeshe wakiwa wamepaki vizuri nikipata mfano wa hiyo picha ntakurushia....... Hiii itakuwa kumbukumbu nzuri sana kwangu na ninaweza kukufikiria km Baba yako Mou lakini una hela weweee au mlagaluga tu kama Mentor? Lol
... lakini una hela weweee au mlagaluga tu kama Mentor? Lol
Soka mchezo wa ajabu inaweza kutokea....anaweza akawaotea tu wapi pamekaa vibaya wakamaliza ndo maana tunasema 90 kama siyo 93 mins zinaongea.
Hahahaha!! Basi mema ya nchi yatakupita......Hahahahaaa Mimi sina hela bhana. Mi mlagaluga tu...
Hakuna shida we tuma tu hiyo sample ya picha mi ntaprint kwa hiyo jezi........au km utashindwa ntadesigne Mwenye na itakua pouwa.
Haaa my dear tumeanza kudharauliana namna hii!?? eight figures in a year si mchezo...na hapo sijataja za nje ya mshahara!
hata ziwe 100...Arsenal will never beat us...especially arsenal under Wenge!
Hahahaha!! Basi mema ya nchi yatakupita......
Hapana wewe utachakachua subiri mpaka nikupatie nyuma weka namba ya li hazard libayaaaaaa jina weka LVG......lol ,mbele hiyo picha itakuwa jezi ya karne hata ulaya hamna........ Halafu wewe una bahat kitu nilichokuwa nimekupangia acha tu!! Shukuru the Awesome God alikuwa upande wako.....lol
Haaa my dear tumeanza kudharauliana namna hii!?? eight figures in a year si mchezo...na hapo sijataja za nje ya mshahara!
hata ziwe 100...Arsenal will never beat us...especially arsenal under Wenge!
mmmh...naona mouthrinho anaambukiza mashabiki wake kale katabia kake
Ntuzu tumeshaweka mikakati na hakika utanyamazishwa bila kuamini.
Eli79 usiogope uwe hodar tu hawa watapepetwa kama ngano...... Ukitii utakula mema ya nchi baraka hizi ziende nawe ......
Tunakuja kwako kuchezea mpira....na kwamwe hatutaruhusu Gunners wakae na mpira...
Mamito umemsahau Mungu wangu tena?
Hahaha.. Ntuzu, habari ya kukaa na mpira usijaribu maana utaumia. Wewe leta wale mabeki wako watano watukabe maana vinginevyo huwezi kucheza na sisi mpira...
Ntuzu, utachezesha Kurt, César, John, Branislav na Gary na wote ni mabeki. Hamuwezi kumiliki mpira vs arsenal, mnachofanya ni kuexploit weakness zetu vile tunakwenda mbele na kusahau beki.
Tuweke beki 5 kwa kuogopa nini? Yani mpira tutakaa nao sisi sio nyie!
Kutufunga mengi ingekuwa bahati sana nyie mlikuja na plan ya draw au kamoko kama kale kisha kulinda sana tusifunge..... Kabla ya mechi nilikuwa nahofia huenda tungepigwa nyingi hasa baada ya Carrick kukosekana nilikuwa najikaza kikike kama siyo kiume kurusha tambo kule kwenu halafu na nyie mkalainika wee utafikir nini ndo maana najua mnanisumbua sana sasahivi..... Lol