Hahahaha unaipenda sana mwanitesa united next game natamani iwe vilevile
Na utaendelea kuteseka mpaka uhamie man u.......weee shindwa na ulegee next game sisi ndo washindi
Hahahaha unaipenda sana mwanitesa united next game natamani iwe vilevile
Na utaendelea kuteseka mpaka uhamie man u.......weee shindwa na ulegee next game sisi ndo washindi
Mi Bluediehard
#KTBFFH ... Na kama haitoshi tuna moka kaya kwao.. ggmu.
Kwendraaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Halafu naomba kirefu cha hayo maneno sijui KTB....kha nasikia kero malizia mwenyewe hope umeelewa swali.
Keep The Blue Flag Flying High!
Leo ni Mwaka Mmoja kamili tangu David Moyes atimuliwe kibarua chake Man Utd
Aiseee diarly yako iko vizuri sana, hivi baada ya mapumziko yake sasahivi yuko wapi?
Kwendraaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Halafu naomba kirefu cha hayo maneno sijui KTB....kha nasikia kero malizia mwenyewe hope umeelewa swali.
Halafu uwe na adabu GGMU inaandikwa kwa herufi kubwa........
Yupo Real Sociedad, Spain
Asante sana na karibu eeh....
Hiyo Blue Flag mnaikeep kwa kupark bas eee????
asanteeeh.. nimekaribia,, uchokodhi sitaki lakini..
tunai-keep kwa kupata pt3 toka kwa Man U.. GGMU
everlenk mshabiki wa Bacelona halafu hujui kama DM aliifunga Barcelona akiwa kam Manager wa Real Sociedad??Asante sana, nitaanza kumfatilia nijue maendeleo yake....
everlenk mshabiki wa Bacelona halafu hujui kama DM aliifunga Barcelona akiwa kam Manager wa Real Sociedad??
BBC Sport - David Moyes: How Real Sociedad boss beat Barcelona