Natanguliza pole in advance kwa wadau wote wa nyuzi hii hahahahha Blueforever
Yaani nimetoka nduki usipime ,jamani acheni tu Suarez kawa mtam, leo tukae chonjo malaika wa magol ya mapema wanaachia kila mahali......
Jipatie furaha sasa baadaye machungu
Sungura yamelala chini akisimamisha masikio kuna jambo ...lol
Jambo lenyewe ndo kumfunga Manchester United
Impossible....
Mkuu Ed n Edd nEddy usipite tu wakati Wa msiba bhana we njoo ata km tumeshinda..
Asante sana mtani niombee baraka nimebakiza masaa machache ya kwenda kulivunja daraja kwa 90 mins......
Naona mmejaa na mpo tayari kupoteza points leo