Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli kabisa patakaa vyema.Kwenye mechi ya Chelsea kale katoto McNair kalinifurahisha sana sioni wadau mkikaongelea kabisa au nina macho ya makengeza!! ......

Hapana hauna macho ya makengeza hata kidogo, hyo dogo Ni mkali mpka kero Na Nina uhakika msimu ujao atakuwa beki yetu bora zaid Kwa ajili ya fa Na capital, Na back up nzur Kwa hawa wengine wakizingua, kiasili dogo Ni midfield yan namba 6, ila aliponunuliwa man u ya watto Na kukuta lundo la mamidifield kina Pearson ndio wakambadilisha namba
 
4-2-3-1
Backline iwe iliyocheza mechi ya Chelsea. Hao mido wawili wacheze Herrera na Fellain. Wing ya kulia Di maria wing ya kushoto Young nyuma ya straiker Acheze Mata Straiker mwenyewe Captain Rooney

Kikosi kiko poa, akipanga hivyo Everton anakufa vizuri huku tukienda nafasi ya pili kiulaini coz Arsenal atakuwa na majanga ya Chelsea
 
yeah nimetokea kumwelewa sana tangu kipindi kile cha injuries crisis alitusave sana

Hapana hauna macho ya makengeza hata kidogo, hyo dogo Ni mkali mpka kero Na Nina uhakika msimu ujao atakuwa beki yetu bora zaid Kwa ajili ya fa Na capital, Na back up nzur Kwa hawa wengine wakizingua, kiasili dogo Ni midfield yan namba 6, ila aliponunuliwa man u ya watto Na kukuta lundo la mamidifield kina Pearson ndio wakambadilisha namba
 
Kikosi kiko poa, akipanga hivyo Everton anakufa vizuri huku tukienda nafasi ya pili kiulaini coz Arsenal atakuwa na majanga ya Chelsea

Cc; everlenk

Dawa yenu iko jikoni inachemka...... Tuombe uzima......

images
 
Last edited by a moderator:
Hapana hauna macho ya makengeza hata kidogo, hyo dogo Ni mkali mpka kero Na Nina uhakika msimu ujao atakuwa beki yetu bora zaid Kwa ajili ya fa Na capital, Na back up nzur Kwa hawa wengine wakizingua, kiasili dogo Ni midfield yan namba 6, ila aliponunuliwa man u ya watto Na kukuta lundo la mamidifield kina Pearson ndio wakambadilisha namba

Asante kwa kunijuza hili hata sikujua ,dogo alinifurahisha sana unaikumbuka ile kick ya mbali aliyojaribu? alikuwa akishika mpira tu mim natabasamu inabidi anolewe vizuri huyu ni jembe litakalotufaa sana.........
 
Na lile lingekuwa goli nahisi mngelia sana juzi...shukuruni kwa kale kamoja!

Kutufunga mengi ingekuwa bahati sana nyie mlikuja na plan ya draw au kamoko kama kale kisha kulinda sana tusifunge..... Kabla ya mechi nilikuwa nahofia huenda tungepigwa nyingi hasa baada ya Carrick kukosekana nilikuwa najikaza kikike kama siyo kiume kurusha tambo kule kwenu halafu na nyie mkalainika wee utafikir nini ndo maana najua mnanisumbua sana sasahivi..... Lol
 
2Q==

2hnywbq.jpg
 
Hahahaha!! Wewe utanifanya ninunulike kwa mkopo Arsenal wakishinda mbona kigodoro chako hiki kitakuwa cha mtoto!!! Nitaweka kambi kule kwenu mwezi mzima hata kama mnachukua ndoo, mbona mtanichukia ombeeni yasitokee....

Hayatokea na kamwe hayatatokea.....labda baba yangu Mourinho aondoke darajani...lkn km yupo ManU, Arsenal, LFC na City ni vichapo tu kwenda mbele.....nakununulia jezi ya Chelsea nikupe ili uwe shabiki wetu....Nina sababu mingi mingi za kufanya hivi lol.
 
For real!???? Ungetegemea Arsenal atufunge??
 
Hayatokea na kamwe hayatatokea.....labda baba yangu Mourinho aondoke darajani...lkn km yupo ManU, Arsenal, LFC na City ni vichapo tu kwenda mbele.....nakununulia jezi ya Chelsea nikupe ili uwe shabiki wetu....Nina sababu mingi mingi za kufanya hivi lol.

Hahahaha !! Sali sana na ufunge isitokee nitakuwa msaga sumu wao wa kukodi kwa muda.....

Asanteeeeeee kwa zawadi ya Jezi lakini naomba katika hiyo Jezi uiprint picha kubwa ya basi la Chelsea na wachezaji wake pamoja na baba yao Mou ionyeshe wakiwa wamepaki vizuri nikipata mfano wa hiyo picha ntakurushia....... Hiii itakuwa kumbukumbu nzuri sana kwangu na ninaweza kukufikiria km Baba yako Mou lakini una hela weweee au mlagaluga tu kama Mentor? Lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom