Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha mzuri ni yule anayefikia malengo aliyojiwekea kwa ajili ya timu yake,! Rekodi yake itakulazimisha umpende tu hata kama ni kimoyomoyo! Kocha mzuri pia hutibua mipango ya adui isifanikiwe! Jiulize je mipango ya man u ilifanikiwa kwenye mechi? Sitegemei umpende kwa wazi mtu anayetibua mipango yako kama alivyofanya Mourinho!

Never on this earth! I would never enjoy or like the big-mouthed footie tactics.

Wait a minute, calling them 'footie tactics' is understatement. They are anti-footie tactics.

As #IamRed I would rather enjoy watching Liverpool under Rafael Benetiz's tactics or even Wenger's tiki taka footie, than watching Maureen's 'park the bus' strategy.

Since day one (when Maureen entered into the limelight), I have never liked him. Only Rentboys like him if he wins them title. Otherwise, he gets booed by the home crowd. Just wait and see next season, when the crowd and The Boss will get tired of 'park the bus strategy'.

You actually started the season quite well. Playing silky footie; and even tiki taka at some games. I wonder what happened then.

Anyway, these are just post-news blabs, you have won the title this year. United has tremendously improved. I am looking forward to next season in the EPL, FA and very likely in the UCL.

#IamRed
 
Dawa yao inachemka ... .... . ipo Emirates J2 pamoja na kupaki kwao basi lazima tuwatungue tu, hawana ujanja.

Man u walisema hivyo hivyo kabla ya mechi, baada ya mechi, umeziona ngonjera za kina Nzi! Na arsenal andaeni ngonjera mapema, kama si wataalam wa Ngonjera mnaweza kuiga za hawa jamaa wa old traford, ngonjera zao tamu lakini tatizo hazitibu maumivu ya kichapo!
 
I wrote, "If that team is English champion, no wonder English clubs currently suck in UCL."

Can you read again the above sentence and write what you wrote?

Mkuu Nzi vipi na mimi ambae ngeli haipandi?
 
Last edited by a moderator:
Man u walisema hivyo hivyo kabla ya mechi, baada ya mechi, umeziona ngonjera za kina Nzi! Na arsenal andaeni ngonjera mapema, kama si wataalam wa Ngonjera mnaweza kuiga za hawa jamaa wa old traford, ngonjera zao tamu lakini tatizo hazitibu maumivu ya kichapo!

Si unafahamu Manure wana ule utegemezi wa brown envelopes? khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee the team in form Europe hivi chacha ni Gunners na chichi hatununui mechi labda huyo Romano awanunue waamuzi wote lakini ni bure tu chichi tutawafunga kwa magoli ya orlando si uliona Stoke walivyowafunga goli la orlando khe khe khe khe khe hekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

_82136927_026618982-1.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwahiyo chichi jana hatukutoa hela njuuuri au?????
 
Si unafahamu Manure wana ule utegemezi wa brown envelopes? khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee the team in form Europe hivi chacha ni Gunners na chichi hatununui mechi labda huyo Romano awanunue waamuzi wote lakini ni bure tu chichi tutawafunga kwa magoli ya orlando si uliona Stoke walivyowafunga goli la orlando khe khe khe khe khe hekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

_82136927_026618982-1.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

asenane we lala tu kumfunga chelsea ni ndoto tena sahau
 
Mamito mi Niko msibani mamy.....siwezi kuleta fujo....wacha Nzi ajifariji.....

Ila nasikitika sn rafiki yangu RRONDO amejificha mpk sasa haonekani......yeye aje tu hatuna maneno sisi....

Wala sina sababu ya kujificha! I'm very proud of my team,what a performance!fantastic display! Without our three key players we did alright! A lot of positives from this defeat. If we were told(at the beginning of the season) that we would be third in mid April,only one point behind second place none of us would complain. Having said that I must insist I didn't have anything to comment, Nzi mfarisayo everlenk kitwala privacy said it all! And you Ntuza Mentor Viol have ur opinions and stands which u don't wanna change or agree whatever others say! Congrats u won the game,u deserve to be champions! Since august u were brilliant
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!! Usijali tunaanza kupona naomba maoni yako tafadhali juu ya hiyo kauli ya Hazard......

Niseme kidogo tu juu ya hiyo kauli ya Hazard.

Ni kweli Hazard kasema bahati ilikua yetu na ManU wanapaswa kufahamu bahati haikua yao.
Nzi England kumekua na mashambulizi mengi sn kupitia media blogs na forums mbali mbali....na ktk hayo mashambulio 130000 yaliekelezwa kwa Chelsea Fc na 60000 yaliekezwa kwa Mario Balotelli.

Sasa unayofanya hapa ni sawa na hao losers wasiopenda kuona Chelsea inaoongoza ligi tangu msimu uanze.....

Kumiliki mpira sio kupata points 3.....au kuonyesha mpira Wa burudani sio kufikia malengo ya club ktk kuchukua makombe....

Nilikua nimeamua kukaa kimya lkn kwa haya maneno yako ntaweka kambi humu tena.
 
Last edited by a moderator:
For me it is not bad even if Man U lose the game against CFC,kwa mtu yeyote anayefuatilia soka atakubali kwamba timu ilicheza vyema na ina madiliko makubwa tofauti na msimu ulivyoanza na msimu uliopita
Kilichoi-cost timu jana ni kukosekana kwa striking force,Falcao alipwaya,na kwa mechi kama ile ilihitajika nguvu ya Rooney.
Asiyekubali kushindwa si mshindani!
 
Nzi England kumekua na mashambulizi mengi sn kupitia media blogs na forums mbali mbali....na ktk hayo mashambulio 130000 yaliekelezwa kwa Chelsea Fc.

Unajua kwanini? Kwa sababu ya anti-football tactics za Mourinho! Wapenzi wa mpira wanapenda kuona timu bora zikicheza mpira wa kuvutia. Wanapenda wakienda uwanjani wapate burudani na wapate makombe. Hicho ndicho wapenzi wa Man United walikifaidi chini ya SAF. Na wamekuwa wakikifaidi katika kipindi cha miezi karibu mitatu sasa chini ya LvG.

Ila kwa timu design ya Chelsea, najua mashabiki wana shauku ya kupata makombe ili kujaribu kukaribia timu ambazo zimetawala soka la Uingereza kwa takribani miaka 40 sasa. Hivyo kwenu kucheza bila kutoa burudani kunaweza kukawa siyo jambo la ajabu. Si unakumbuka jinsi media ya UK ilivyokuwa ikimponda LvG pale United ilipokuwa ikishinda kwa mazabe (mfano games dhidi ya Soton na Arsenal)?

Washabiki wa Arsenal uwa wananishanganza! Wao wanafurahiaga burudani tu bila kujali kama wanashinda au lah! Ingawa siku hizi wengi wao wamechoka na wanaanza kulalamika.

Kumiliki mpira sio kupata points 3.....au kuonyesha mpira Wa burudani sio kufikia malengo ya club ktk kuchukua makombe.....

Chifu, kama nilivyosema hapo juu, washabiki wanalipa pesa nyingi kuingia uwanjani ama kuangalia kwenye luninga mpira ili wapate burudani na kushinda makombe. Ni washabiki wachache sana watakaofurahi siku zote aidha kushinda makombe bila kutoa burudani au kutoa burudani bila kushinda makombe.

Chelsea mwaka huu mtashinda EPL. Lakini ni dhahiri mkifanya staili hii hii tena na mwakani, lazima the Boss aanze kulalamika na pengine mpiga domo akakumbwa na fagio tena!
 
Last edited by a moderator:
For me it is not bad even if Man U lose the game against CFC,kwa mtu yeyote anayefuatilia soka atakubali kwamba timu ilicheza vyema na ina madiliko makubwa tofauti na msimu ulivyoanza na msimu uliopita
Kilichoi-cost timu jana ni kukosekana kwa striking force,Falcao alipwaya,na kwa mechi kama ile ilihitajika nguvu ya Rooney.
Asiyekubali kushindwa si mshindani!

Nilikuwa na wasiwasi na pengo la Blind but Shaw alicheza mpira, huyu dogo atakuja kutusaidia sana najua Blind atakuwa anacheza kama kiungo, kweli jana Falcao ndio alituangusha kule mbele game ya nguvu haziwezi
 
Kumbuka pia Wellbeck na Cleverly wana medali ya EPL while hakuna mchezaji mwingine wa Arsenal mwenye hiyo medali

Welbeck habebeki ni hype na media ya UK tu ndio wanawapandisha kuhusu medali, hizo ni pumba tu MK Dons waliwatoa kamasi wana medali gani? Endeleeni kujiridhisha nyie tunafahamu bila brown envelopes ni watupu tu hamna lolote ... ... .. ding dong khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nzi unahitaji therapeutic intervention ku-combat anger uliyokuwa nayo baada ya kufungwa jana otherwise tutasikia Mtanzania kajiunga na Waganda na Wakenya kujiua baada ya Manchester United kufungwa. Unalalama kuwa Chelsea hawajacheza mpira wa burudani kitu kilicho kweli, dunia yote inajua staili ya Mourinho, anti-football.Then hapo hapo unapiga madongo Arsenal kwa kupenda kucheza mpira wa Burudani bila kubeba kombe. Vipi umesahau tulikuwa katika financial crisis iliyosababisha kwa upande mkubwa kushindwa ku-keep mastar wetu pia ku-attract mastar? Na bado tulikuwa katika competition ya kubeba makombe, but tuli-come short in several occasions (overall). Mwenyewe umeona jinsi mlivyoshindwa kuattract mastar baada ya kushindwa kuingia UCL msimu huu na mkalazimika kutumia bajeti ya Tanzania kununua na kukopa wachezaji ambao wengi wao hawajaonyesha jipya lolote. Pamoja na kutumia pesa zote hizo mnaelekea kuondoka mikono mitupu. Cha ajabu bado una guts za kusimanga ARSENAL. Unasifia burudani yenu na kupiga madongo burudani yetu. Burudani yetu imetufikisha two FA CUP FINAL back to back brother! (Hulk Hogan voice). God wishes tutalibeba kombe mara ya pili. Elekeza hasira kwa rentBoys wanaobeba kombe bila ya kucheza attractive football, though United na wao walishabeba hili kombe mara kadhaa bila ya kucheza vizuri msimu mzima. Sometimes football works like that.
 
Punguza hasira hatudaiwi na ntu, deni la uwanja limekwisha ding dong khe khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwambie tunawakaribisha Mafioso Emirates then tunawafuata kwao baada ya kuwabangua kwenye kinyang'anyiro cha FA cup then tukilichukua wananza kulalamika ati tulishinda timu vibonde wakati tuliwabangua Old Trashford.
 
Welbeck habebeki ni hype na media ya UK tu ndio wanawapandisha kuhusu medali, hizo ni pumba tu MK Dons waliwatoa kamasi wana medali gani? Endeleeni kujiridhisha nyie tunafahamu bila brown envelopes ni watupu tu hamna lolote ... ... .. ding dong khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Danny Wellbeck "New Thierry Henry "
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kumbuka pia Wellbeck na Cleverly wana medali ya EPL while hakuna mchezaji mwingine wa Arsenal mwenye hiyo medali

Just matter of time atabeba EPL medal akiwa na Arsenal. Hivi umesahau ni RVP pekee mwenye FA CUP medal katika timu yenu thanks to Arsenal 2005. Welbeck yupo mbioni kubeba FA CUP medal mwezi ujao. Bookmark this.
 
Back
Top Bottom