Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Afadhali tu Chelsea wameonja Kichapo angalau wanyamaze kidogo
 
Bolton 2 - 2 Man Utd

Premier League ndiyo hiyo .... .....
 
owenutd_2506367.jpg

Michael Owen celebrates his first goal for Manchester United at Scunthorpe.

...bahati yenu kibabu kimewaokoa tena...
MAN U 2 - 2 BOLTON
 
Waungwana naona wapinzani Leo wameteleza, natumaini kesho tutashinda na kupunguza gap ya point na Chelsea.
Hargo na Carrick wameanza training Anderson kesho anaweza kufeature kwenye first team, slowly things are beginning to look promising.
hongereni sana, naona mmepunguza pointi moja.

Hakuna kulala walianza kupiga kelele kama kawaida yao,Carick auzwe naona Gibson yuko fit kuliko Carick

Afadhali tu Chelsea wameonja Kichapo angalau wanyamaze kidogo
 
Vijana leo hawakuwa kwenye mudi ya kucheza mpira maana kila sekta ilikuwa mbovu kabisa.........Maana hawajacheza vizuri kabisa yaani ila OWEN naona karudi katika hali yake ya kawaida!
 
Waungwana naona beki yetu sasa wanafanya ndalilo kila siku wanakuwa bailed out na washambuliaji something is seriously wrong. Nashindwaga kumuelewa gaffer inakuwaje anamuacha Rafael na kumpanga O'shea? Mwenye kujua naomba anisaidie. Rooney kwa sasa inabidi apumzishwe mpaka atatue matatizo yake ya nje ya uwanja instead wapewe nafasi akina Owen, Chicharito au Macheda. Evra bado ana disappointments za kombe la dunia kwa maoni yangu bado kichwa hakijatulia. Evans sio first choice CB material na O'shea oh well anafaa kuwa kwenye benchi lakini sio first choice na kama SAF ataendelea kumpanga basi tusahau ata kuchukua carling cup.
 
Mkuu, the missing link ni Rio & Vidic Partnership.
Rio akirudi mtakuwa sawa bana,
Kilio cha wote wikiendi hii...hii hiii hii....
poleni!
 
Fergie ajaribu kumrudisha O shea acheze kati na Vidic,kuna wachezaji wanahitaji kupewa likizo ya at least mwezi mzima Rooney,Evra.Nashukuru kwamba Michael Owen yuko kwenye form
 
Sitegemei kabisa kama RIO atarudi tena
 
Fergie ajaribu kumrudisha O shea acheze kati na Vidic,kuna wachezaji wanahitaji kupewa likizo ya at least mwezi mzima Rooney,Evra.Nashukuru kwamba Michael Owen yuko kwenye form

Owen ama unaimanisha Bebatoff?
 
Fergie ajaribu kumrudisha O shea acheze kati na Vidic,kuna wachezaji wanahitaji kupewa likizo ya at least mwezi mzima Rooney,Evra.Nashukuru kwamba Michael Owen yuko kwenye form
Naona gaffer amesikiliza kilio cha wengi Rooney hatocheza jumatano. Kwa upande mwingine maneno mtaani yanasema Rooney na SAF walipandishiana kwenye dressing room.
 
Haya haya listi yetu ndio kama ifuatavyo,
Van der Sar, Rafael, Ferdinand, Vidic, Evra,Carrick, Fletcher, Anderson, Nani, Berbatov, Park.
Subs: Kuszczak, Owen, Smalling, Hernandez, O'Shea, Macheda, Gibson.
 
Back
Top Bottom