Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U wamejikomboa leo..to be fair Man U walitakiwa at least wachezaji 2 wapewe red..
 
Nipo chelsea kaka, ila km mpenzi na mchezaji wa mpira wa miguu kwenye makosa na mafanikio siwezi kuacha kusema kweli hata km zinacheza timu tofauti na chelsea.
 
...Sikilizia kelele zao sasa, uzuri kina BJ, Belo, Eqlypz et al hawa hawana fujo sana kama Chelsea.
Hivi wapi Saikosisi wakuu?
Mkuu hao mabeki wangu wananiharibia mood kabisa wakishafika kipindi cha pili wanakuwa mzozo Kama wamekula kungu kha!! Form na jinsi walivyocheza dippers tulitakiwa tuwafunge at 5. Lakini ushindi wowote ni ushindi especially dhidi ya scousers.
 
...Sikilizia kelele zao sasa, uzuri kina BJ, Belo, Eqlypz et al hawa hawana fujo sana kama Chelsea.
Hivi wapi Saikosisi wakuu?

Inaelekea ulikuwa unasubiri tufungwe au droo, msherehekee nyie Arsenal..kiukweli sie tumetulia, ngome ya darajani wako full fujo kama uonavyo na hivi wanatembeza ushindi!!.pole kwa jana,lol
 
Nawe BJ vipi? Pole ya nini, sie tulifahamu yule refa keshalipwa na mafioso lakini tulikaa ngangari ugenini. pole tukupe wewe nasikia nani sijui vile ndio msimu umeisha.
 
Kiliwauma jana mana ushindi ulikuwa wenu, halafu zile jezi za yebo yebo mbaya kwelii!..Sie ManU, pole pole ndo mwendo!,,hata tusipochukua kombe mwaka huu, sidhani nyie kama mtaweza:becky:
 
Nasubiri muwakong'ote tena Chelsick kama mlivyofanya kwenye Charity shield hawana kitu mwaka huu mpunga umeisha wanabaki kubwatabwata tu labda idadi ya unga kutoka kwa babaTerry ma yule mwizi wa Lamps kwenye super markets uongezeke. Khe khe kheeeeee
 
Before Man U chelsea Fc will play Fat Arse-Anal! Sasa hivi kuna maombi yanaedelea kwa Guuners Drogba aumie!
 
manchesterunitedliverpool_2504956.jpg

manunitedliverpoolfergie_2504974.jpg
 
Back
Top Bottom