Huyu Carrick bado hajawa fit....Season hii tuna kazi kweli kweli.
Watch Live Valencia vs Manchester Unitedjamani mwenye link atuwekee basi maana tulizozizoea zinagoma leo
Wonderful play kati ya Nani-Kiko-Chicharito
MU 1 - 0 Val.
Finally clean sheet.
Evra naona bado anapwaya pwaya....told you, RIO Ferdinand na Vidic wameziba 'pengo' vizuri sana jana.