Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu ni yule berbatov ambaye alikua anasimama na mpira kwenye kibendera cha kona anakua kama anataka kumpigia mke wake simu kwanza au ni mwingine?
 
Hii beki yetu msimu huu inanikumbusha beki ya msimu wa 95/96 especially ile mechi na Southampton.
 

kila la kheri mkuu ,naona 1-1,chesea yuko nyuma nae sasa hivi 2-1.nimekosa game ya kuangalia nitafanya decision half time.nilitaka kuwacheki man city kumbe wame rotate nilitaka kuona minjemba yao wanavyopelekeshwa lol.
 
kila la kheri mkuu ,naona 1-1,chesea yuko nyuma nae sasa hivi 2-1.nimekosa game ya kuangalia nitafanya decision half time.nilitaka kuwacheki man city kumbe wame rotate nilitaka kuona minjemba yao wanavyopelekeshwa lol.
Heheh Stamford Bridge kunawaka moto 3 - 1 advantage Newcastle, naona vijana wangu wanajenga confidence 4 - 1 tunaongoza. Nasubiria kumuona Bebe kama atacheza.
 


Summer signing Bebe is named on the bench for Manchester United's trip to Scunthorpe.
 


Darron Gibson is congratulated by his team-mates after drawing Manchester United level at Scunthorpe.
 


Michael Owen celebrates his first goal for Manchester United at Scunthorpe.
 
Waungwana naona wapinzani Leo wameteleza, natumaini kesho tutashinda na kupunguza gap ya point na Chelsea.
Hargo na Carrick wameanza training Anderson kesho anaweza kufeature kwenye first team, slowly things are beginning to look promising.
 
Hakuna kulala walianza kupiga kelele kama kawaida yao,Carick auzwe naona Gibson yuko fit kuliko Carick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…