Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu huu Chelsea watatangaza ubingwa mapema sana..no competition at all.
 
Siku hizi ikishafika kipindi cha pili tunakuwa vibonde,nahisi kuna mtu atakula red card soon
 
bado ulinzi kwa liverpool ni tatizo, ni magoli ya kizembe kwa namna moja au nyengine
 
Naona wanasubiri ushindi kwanza.

...Sikilizia kelele zao sasa, uzuri kina BJ, Belo, Eqlypz et al hawa hawana fujo sana kama Chelsea.
Hivi wapi Saikosisi wakuu?
 
Back
Top Bottom