Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Halivunjwiiii
cute b are you blue???!

Mi nadhani LVG ameanza na Falcao kwa kutumia historia yake na sisi alipokuwa atletico...lakini pia kuna striker gani mwingine benchi? Na Je kama Rooney akija mbele nani atacheza nafasi yake? So far as a chelsea fan nahisi rooney ndo mtu mwingine wa kumpa marking ya kutosha ameonesha hatari...fellaini na falcao tushawatia mfukoni via Zouma na Terry respectively.

Go Blue... #trueBLUE
 
Last edited by a moderator:
LVG anamtumia Valencia km beki, at the same time anapanda km wing,
sasa Valencia Hana huo uwezo...anajisahau kurudi kufanya marking, matokeo yake Hazard anamtoroka na kufunga,
the whole first half hazard hakuonekana ...but failure za Valencia hako kadogo kamefunga..
 
cute b are you blue???!

Mi nadhani LVG ameanza na Falcao kwa kutumia historia yake na sisi alipokuwa atletico...lakini pia kuna striker gani mwingine benchi? Na Je kama Rooney akija mbele nani atacheza nafasi yake? So far as a chelsea fan nahisi rooney ndo mtu mwingine wa kumpa marking ya kutosha ameonesha hatari...fellaini na falcao tushawatia mfukoni via Zouma na Terry respectively.

Go Blue... #trueBLUE

Aaaah wapi
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa kuna watu walikuwa wanasema nani atamkaba manywele, wengine wakasema Mata mtamkoma ana hasira na Chelsea! Wamefanya nini hao watu wenu? Sana sana jitahidini kubuni Visingizio!
 
Man u hizi za kukaba tunaziweza Sana tulizeni kipago tupo gado
 
Haya sasa kuna watu walikuwa wanasema nani atamkaba manywele, wengine wakasema Mata mtamkoma ana hasira na Chelsea! Wamefanya nini hao watu wenu? Sana sana jitahidini kubuni Visingizio!
 
Smalling na Mcnair wanafanya kazi nzuri sana kwenye kushambulia wanapoa nafasi wanapanda wenyewe na mpira kwa kujiamini kabisa
 
Chelsea wanalinda bao na kufanya mashambulizi ya kuvizia. Utd lazima watafute bao kuwalazimisha kushambulia
 
63 min: Shaw clips the ball across the Chelsea penalty area to Fellaini, who traps it on his velcro chest and lays it off to Wayne Rooney. His low drive from the edge of the penalty area is deflected out for a corner.

Share
2m ago18:50
62 min: Oscar gets booked for a late tackle on Ander Herrera.

Share
3m ago18:49
60 min: Paddy McNair tries his luck with another long range effort that dips in the air and brings a smart save out of Courtois. The ball doesn’t break kindly for Falcao, but finds its way to Luke Shaw, who picks out Juan Mata. He heads wide.

Updated at 6.50pm BST
 
Back
Top Bottom