Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Tafuta panado mapemaWakati nakata bia yangu hapa...
Man u piga Chelsea cha mbavu....
Man u 2 - Chelsea 1
Aliyesema refa wa leo chizi aliwahi kufungiwa nimeamini. Beki anaangushwa anapeta ili Man U ifungwe tu.
Good performance kipindi cha kwanza tunatakiwa kuongeza umakini kwenye Counter attack kipindi cha pili tunahitaji Pass ndefu na cross nyingi maana Chelsea watapaki basi
Daraja linavinjwa halivunjwi??????
Kocha kumpanga Falcao ana kitu cha kuwaeleza wadau timu ikifungwa. Asipotolewa second half anaweza kuzalisha kadi isiyo na sababu kwa upande wowote.
Falcao atoke tu, hakutakiwa hata kuanza.
Mwache huyu ajui uimara wake atasubiri sana livunjike...!Halivunjwiiii
Kocha kumpanga Falcao ana kitu cha kuwaeleza wadau timu ikifungwa. Asipotolewa second half anaweza kuzalisha kadi isiyo na sababu kwa upande wowote.
poor LVG....
kwanini anatumia wing moja.....
Young keshajuliwa na ivanovic...akimpita ivanovic anakutaka na Cahill....
Yeah.....hawa jamaa hawapandi kabisa ....inabidi kusumbua wing zotewe need Mata off...Di maria on...we want to attack from both wings..
cute b livescore ni updates tu nilikuwa nataka ya kuangalia Mpira live ila wadau washaweka