Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mou aliiharibu timu yangu, so milele namchukia. Ninyamazishieni huyu mtu wazee, kila la kheri. GGMU! 4 this one
 
Falcao atathibitisha jinsi alivyo Flop yeye na Di Maria. Sijawahi kuona mchezaji expensive katika timu yoyote anasugua benchi kama Di Maria.Real Madrid waliwakamua karibia £60M kimacho macho kama Mtaa wa Kongo, enzi zile. Ashley Young anaonyesha jinsi gani Di Maria alivyo garasa. Two biggest Flops in the world.

Ni mapema sana kusema Di Maria ni flop, huu ni msimu wake wa kwanza tu msimu ujao naweza kuwa mzuri hadi ukala matapishi yako, kwa ilikuwaje kwa fellain na hata Mata? watu walisema tumeuziwa magarasha leo hii ni wachezaji bora kabisa. Inaweza kutokea pia mchezaji akaanza vizuri badae akafulia Ozil wa leo ni sawa ni yule wa round ya kwanza ya msimu uliopita? Alexis mwenyewe mzunguko wa kwanza alikuwa moto sasa hivi hoi
 
Mourinho kama kawaida yake amepanga timu kucheza defensive na kutarajia wapate nafasi mbili tatu za kufunga goli.
 
mmh..hizi back pass za man u zitatucost...Drogba si Mwema Hata kidogo.
 
Nisaidieni link wanaoangalia online,link zangu zote zipo slow msaada please waungwana
 
Back
Top Bottom