privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,282
Hata hivyo Falcao hapati kabisa pasi za mwisho
Umekisema ninachokiona mkuu, sidhani kama lawama zinampasa huyu jamaa
Hata hivyo Falcao hapati kabisa pasi za mwisho
😭😭😭😡😡😡😡😭😭😭😭😤😤😤😤
18th century football at its best 
Mahfuckn referee..!!
That was a penalty
Duh hata Herrera kashaiga mchezo wa Young na Rooney wa kudaivu daivu sio.Poleni watani. Sisi huku tuna kibarua kigumu pia. Reading 1-1Arsenal ndani ya extra 30 minutes. Tunaweza kupoteza kombe hapa.