Hivi de gea ni mtu au jini
Dunia nzima inaburudishwa na jinsi Man Utd wanavyotandaza kabumbu
naona mnavyoburudisha Hazard kashatupia 1 hapa. Kama nilivyosema Mourinho amekuja defensive na kutarajia atapata nafasi zake mbili tatu za kufunga goli then watarudisha basi katikati. Zamu yenu kujaribu kuwatungua sasa hivi.
Nisaidieni link wanaoangalia online,link zangu zote zipo slow msaada please waungwana
Litarudi tu hili...
U mean JF?
Aliyesema refa wa leo chizi aliwahi kufungiwa nimeamini. Beki anaangushwa anapeta ili Man U ifungwe tu.