Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahaaaaa........kila valencia akiperform good naongeza bia moja...

Valencia bhana....anafanya hadi vitu visivyoruhusiwa uwanjani
 
Duh!! Humu net imekuwa shida sana,so far tuko vizuri ni goal liingie tu
 
Ni mapema sana kusema Di Maria ni flop, huu ni msimu wake wa kwanza tu msimu ujao naweza kuwa mzuri hadi ukala matapishi yako, kwa ilikuwaje kwa fellain na hata Mata? watu walisema tumeuziwa magarasha leo hii ni wachezaji bora kabisa. Inaweza kutokea pia mchezaji akaanza vizuri badae akafulia Ozil wa leo ni sawa ni yule wa round ya kwanza ya msimu uliopita? Alexis mwenyewe mzunguko wa kwanza alikuwa moto sasa hivi hoi

Ajabu mlikuwa mnamwita Ozil Flop baada ya kucheza mechi 20 na kujeruhiwa miezi 3. Huyu Di Maria kajeruhiwa mara moja na bado anawekwa benchi na Mr. Ashley theDiver Young. Vikongwe wenu kina Scholes, Neville wanamshikia bango Ozil la kudai ni flop lakini jamaa anadiliva performance za ajabu(Stats zinaonyesha). Muda kipindi katoa pande la ajabu Sanchez kamalizia Reading 0-1 Arsenal.
 
Back
Top Bottom