Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mtoto hatumwi dukani leo

Falcao leo watamjua

Baada kuna tuna majeruhi wengi naona umeingia fasta fasta lol

Falcao atathibitisha jinsi alivyo Flop yeye na Di Maria. Sijawahi kuona mchezaji expensive katika timu yoyote anasugua benchi kama Di Maria.Real Madrid waliwakamua karibia £60M kimacho macho kama Mtaa wa Kongo, enzi zile. Ashley Young anaonyesha jinsi gani Di Maria alivyo garasa. Two biggest Flops in the world.
 
Wakati nakata bia yangu hapa...
Man u piga Chelsea cha mbavu....

Man u 2 - Chelsea 1
 
ImageUploadedByJamiiForums1429374063.956960.jpg
 
Falcao atathibitisha jinsi alivyo Flop yeye na Di Maria. Sijawahi kuona mchezaji expensive katika timu yoyote anasugua benchi kama Di Maria.Real Madrid waliwakamua karibia £60M kimacho macho kama Mtaa wa Kongo, enzi zile. Ashley Young anaonyesha jinsi gani Di Maria alivyo garasa. Two biggest Flops in the world.

Leta utabiri leo
 
Mkuu maneno mengi hayahitajiki hapa sasa....ila mna bahati mjengoni nipo na washikaji kwahiyo hapa sitakuwa nipo active sana....

Ila nita login kwenye simu ili kila Falcao akitupia niwe ninatoa mchango wangu lol
 
Back
Top Bottom