Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Akumbuke kuongoza point 12 haimaanishi kuwa baada ya united anachukua kombe. Kuna mechi kama 5 mbeleni. Na mbaya zaid anakutana na Arsenal, United. Hao wakimfunga je!?

Bulldog ata nikifungwa mechi 3 Na nikashinda 4 bado Mimi ntakua bingwa....Na kwa hizi mechi zilizobaki kuanzia Leo sipotezi....

Hebu angalia....tangu nimefungwa Na spurs tarehe moja January mwaka huu ktk EPL sijafungwa tena....kwanini sasaivi nipoteze michezo mitatu? Never....and it will never happen.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwani unadhani ni uongo mama we utaona tu leo, mpira ni dk ngapi.

Mkuu Bulldog hilo swali waulize #Liverpool walijifanya kukaza hadi dk ya ngapi halafu Ivanovic akawafanya nini

Bulldog anataka kufanya km ManU ni timu hatari sn wakati anasahau kua kuna mechi Chelsea imecheza msimu huu watu hawawezi kuzisahau maishani mwao.....
 
Last edited by a moderator:
Bulldog ata nikifungwa mechi 3 Na nikashinda 4 bado Mimi ntakua bingwa....Na kwa hizi mechi zilizobaki kuanzia Leo sipotezi....

Hebu angalia....tangu nimefungwa Na spurs tarehe moja January mwaka huu ktk EPL sijafungwa tena....kwanini sasaivi nipoteze michezo mitatu? Never....and it will never happen.....

Comment kama hizi tulizisikia sana kutoka kwa akina Malafyale na wenzake ila mwishoni walipokutana na hali halisi uwanjani wakaja kuzibadilisha, kwahiyo hazitusumbui

Hii post yako umeongea vizuri ulipokuja kukosea ni hapo kwenye nyekundu

Suala la wewe kuja kufungwa mechi tatu kutoka sasa , hilo halituhusu sio jukumu letu, jukumu letu ni leo kuendelea kufanya kile tunachojua kufanya uwanjani.
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1429357545.872559.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom