Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Napita mapema kutoa salamu zangu kwa man u fans bila kukusahau mtani wangu everlenk na kwa mbali nimekuona Bulldog long time hujaonekana humu

Mkuu Ntuzu nitapita kwenu iwapo ukifungwa 😉😉😉

Asante sana mtani niombee baraka nimebakiza masaa machache ya kwenda kulivunja daraja kwa 90 mins......
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu hawa jamaa hako kapicha cha Mourinho kujificha sijui wamekatoa wapi wapinzani wanakapenda sana

Samahani kiongozi, ulikuwa unaizungumzia picha hii?

attachment.php


Kama ndio hiyo, kwani wewe huoni ni uamuzi wa busara Mourinho aliouchukua? {wa kuangalia mpira kwa kujificha}
 
Huyu nimewaachia wewe na b5-click ndio mnamuweza.........mi naogopa kununiwa lol....!

Usijali mkuu, atatulia tu huyu we mwache sasa hivi nafasi anayo, japo najua anatetemeka hapo halipo mbaya kabisa.....baadae ikiwezekana mtafute uwe nae karibu na diclopa uwe nazo.
 
Last edited by a moderator:
Usimsikilize Ntuzu mm naipenda hivyo picha kwasababu imefanana na avatar yake na jinsi alivyo humu jukwaani napata imagination kibao kwamba huenda ndiye Mou mwenyewe wa bongo, Lol


Hahahahaaaaa niachieni Mourinho wangu jamani.....

Ila kiukwele km hili jila la Mourinho lisingekua tayari lina mtu humu Jf basi lingekua ni user name langu aisee....kuna wakati natamani nimuombe Yule mdau Mourinho aniachie account Yake niitumie aisee kwa jinsi ninavo mpenda José Mourinho.....
 
Last edited by a moderator:
Bora hata umekuja dear wao ndo wananisumbua mimi mtulivu kabisaa eti wanasema leo ntalivunja daraja halafu wao wakaishi wapi??..... Lol


Kwani dear sikio huwa linazidi kichwa?.......

Japo hiki swali sijulizwa mimi ila nalijibu tu. everlenk mama nilishakuambia sikio linaweza kuzuri kichwa kwani wewe unamwonaje sungura
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom