Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1429350545.432527.jpg
The Making : Expendable VII
*****
Hii picha imenifanya niyakumbuke maneno ya Van Gaal jana....!! Kama ulipitwa kidogo alisema....

On Chelsea:

"I think they play at home, I think that Chelsea is satisfied with a draw.

"The question is how long their players can play in a discipline."
 
Binafsi naona ana pwenti kiongozi.
Nani ana pressure kati yako na yeye?
Timu gani ipo katika form kati yako na yeye?
Ubingwa nani ana nafasi kubwa ya kuuchukua kati yako, mimi na yeye??

Akumbuke kuongoza point 12 haimaanishi kuwa baada ya united anachukua kombe. Kuna mechi kama 5 mbeleni. Na mbaya zaid anakutana na Arsenal, United. Hao wakimfunga je!?
 
View attachment 244516
The Making : Expendable VII
*****
Hii picha imenifanya niyakumbuke maneno ya Van Gaal jana....!! Kama ulipitwa kidogo alisema....

On Chelsea:

"I think they play at home, I think that Chelsea is satisfied with a draw.

"The question is how long their players can play in a discipline."

Jibu ni jepesi tu " all 90 minutes "
 
Ntuzu hii gemu kwenu mnaiona imeshakuwa rahisi baada ya injury crisis ila kiukweli nahisi itakuwa gemu ngumu kuliko wangekuwepo hai wachezaji walioumia na hii itachangiwa na wachezaji waliokuja kuziba hizo nafasi kutaka kuprove kwa kocha kuwa still they can do something na kujijengea imani kwa kocha

Hivi masikini rafael yupo wap?
 
Last edited by a moderator:
Mnaongea sana hafu mnapigania nafasi ya 4, ngoja sie tujibebee F.A cup yetu kama kawaida.
 
Back
Top Bottom