Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Najua Valencia akipanda anaenda Kupiga cross dongo ambazo ni mbaya sana, ila sasa mpaka apate nafasi ya Kupiga hiyo cross dongo mbele ya Azpilicueta roho mbaya ni tabu....na kipanda tu dogo akachua mpira Hazard anahesabu ...

Huyu Hazard sometimes mnamkuza kupitiliza, labda niulize maswali machache
1. Ana assist ngapi?
2. Amefunga magoli mangapi?
3. Ana coverage gani ndani ya uwanja kiasi cha kuwa special kiasi hicho au ule udambwidambwi tu ndo unawakosha?
 
Tambo ndo zinafanya tuifuatilie mechi kwa ukaribu zaidi mkuu.
Na zikikosekana hizi humu ndani patanuna.

Ninalijua hilo kiongozi wangu kitwala. Tambo ndo zinaleta bashasha na hamasa katika soka. Ndo maana hata game huwa watu wanapenda kwenda mabandani/bar coz kumechangamka
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaaa
bila tambo na vijembe humu hapanogi na pataboa.
Kweli Mkuu...lkn majembe km nyie mnajificha Na kumuacha dada yenu peka Yake? Watu km kina Nzi Na RRONDO wanachungulia tu...wanasubiri mpk mpira uishe tena waone wameshinda ndio utawaona Na uchambuzi wao....

Tambo ndo zinafanya tuifuatilie mechi kwa ukaribu zaidi mkuu.
Na zikikosekana hizi humu ndani patanuna.

Nakubali Mkuu...

Mi niko tayari kiongozi. Japo mkija kwetu ni maumivu tu..

Labda mumtoe Wenger... Lkn km atakua yeye ndio manager mnaumia...
 
Last edited by a moderator:
Kukosekana kwa hawa watu kuna ninyima usingizi kabisa
Phil Jones, Daley Blind, Marcos Rojo and Michael Carrick
Hasahasa huyo wa mwisho lakini kwa vyovyote Daraja lazima livunjwe tu.
 
Ntuzu kukosekana kwa hawa watu wangu naona kumekuja wakati muafaka kwenu, Phil Jones, Daley Blind, Marcos Rojo and Michael Carrick

Mkubwa kama hao wachezaji kesho wakikosekana itakuwa na madhara makubwa kwetu na itabadilisha muelekeo wa mpira na matokeo kwa ujumla.

Man Utd iliyokamilika kesho ilikuwa bila ya tatizo lolote inajichukulia ushindi hapo darajani, ila kwasasa inabidi itumike plan b ambayo still inaweza kufanya kile ambacho watu wengi wanakitarajia kwa kuondoka na points 3 hapo darajani.

Glory Glory Man Utd

NB: Neno "kama" nimeliweka rangi nyekundu sio kwa kukosea, kesho nitakwambia kwanini limetumika na kuwekewa rangi nyekundu
 
Nimekupa mkuu, mbinu za kocha na mentality ya wachezaji atakayoijenga ndivyo vitaamua mambo yote uwanjani.
Tuache dk 90 zizungumze mkuu.
 
Kweli Mkuu...lkn majembe km nyie mnajificha Na kumuacha dada yenu peka Yake? Watu km kina Nzi Na RRONDO wanachungulia tu...wanasubiri mpk mpira uishe tena waone wameshinda ndio utawaona Na uchambuzi wao....

Nakubali Mkuu...

Labda mumtoe Wenger... Lkn km atakua yeye ndio manager mnaumia...

Mimi siwezi kuchambua mechi kabla haijachezwa,utaalamu huo sina.
 
Huyu Hazard sometimes mnamkuza kupitiliza, labda niulize maswali machache
1. Ana assist ngapi?
2. Amefunga magoli mangapi?
3. Ana coverage gani ndani ya uwanja kiasi cha kuwa special kiasi hicho au ule udambwidambwi tu ndo unawakosha?

Kusema kweli mkuu huyu jamaa hajawahi kuifunga wala ku-assist dhidi ya Manchester united kwenye ligi, ila kila jambo lina mwanzo wake sio?!
 
Back
Top Bottom