Raf2 yupo hana majeraha yoyote ila kutokana na perfomance ya Vale25 ameishia kukalia bench ila kutokana na hii injury anaweza kucheza hii gemuHivi masikini rafael yupo wap?
Tatizo la Chelsea fans wanaichukulia easy easy sana hii gemu ... ninachoweza kusema tusubiri after 90 ....minutes
Jibu ni jepesi tu " all 90 minutes "
View attachment 244516
The Making : Expendable VII
*****
Hii picha imenifanya niyakumbuke maneno ya Van Gaal jana....!! Kama ulipitwa kidogo alisema....
On Chelsea:
"I think they play at home, I think that Chelsea is satisfied with a draw.
"The question is how long their players can play in a discipline."
View attachment 244520
Mkuu Bulldog Rafael yupo na yupo vizuri sana, naimani ataanza maana dogo needs a play time.... Kuna kitu alikifanya jana kikanifuraisha sana..!!
Jana nimeambiwa na kunguru mjanja eti sikuhizi ni 93 minutes......
Tumuone uwanjani kijana mchapakazi.
Hiyo pumzi hawana ya kufika hapo na kina Drogba & Costa walishajizeekea.
Some other good news zinazokaribia kuendana na zile za Ntuzu ni kuwa......
"Daley Blind and Phil Jones will have late fitness tests to determine whether they can play vs Chelsea"
#HandsCrossed 🙏🏾
Utawapa presha mkuu wenzio wanacheka wanaona easy game.....
Some other good news zinazokaribia kuendana na zile za Ntuzu ni kuwa......
"Daley Blind and Phil Jones will have late fitness tests to determine whether they can play vs Chelsea"
#HandsCrossed 🙏🏾
Utawapa presha mkuu wenzio wanacheka wanaona easy game.....
Hii ilikua ni mind game tangu Jana niliiona hili Na uzuri ni kwamba Mourinho Jana hiyo hiyo hakumkopesha LvG Na hiyo mind game Yake.....alimjibu vzr tu....
Kocha wa Man u keshaanza visingizio eti kuna wachezaji wanne ni majeruhi! Hakuna hata timu moja inayoweza kumaliza msimu bila kuwa na majeruhi! Hivyo suala la majeruhi ni la timu zote. Baada Ya dakika 90 na man u mkapata kipigo cha kueleweka msije humu jamvini na ngonjera za majeruhi! Vinginevyo mshaurini kocha wenu asipeleke timu uwanjani.Tatizo la Chelsea fans wanaichukulia easy easy sana hii gemu ... ninachoweza kusema tusubiri after 90 ....minutes
Hahahaha!! Una machale wewe , embu weka majibu hapa ya Mou tuyaone tuliopitwa......