alwatanzilatan
Member
- Jan 10, 2015
- 7
- 1
Kwel mkuu
Full time:Man v Chelsea 2-1..GGMU
Ntuzu Wapi tena huko zaidi ya kauli ya Manager ambaye ndio alithibitisha kutokuwepo kwa wachezaji hao!!?? LvG ameviambia vyombo vya habari kuwa kuna ambao wangeweza kurudi kikosini (wamesha recover) ila mechi hii imekuja wakati mbaya kwao. Nahisi alimaanisha Rojo na Blind kama hii mechi ingechezwa J3 basi tungewaona kwa pitch...kitwala kuna sehemu nimesoma Michael Carrick ndio anaweza kukosa huu mchezo...lkn hao wengine wote watakuwepo....
Ntuzu Wapi tena huko zaidi ya kauli ya Manager ambaye ndio alithibitisha kutokuwepo kwa wachezaji hao!!?? LvG ameviambia vyombo vya habari kuwa kuna ambao wangeweza kurudi kikosini (wamesha recover) ila mechi hii imekuja wakati mbaya kwao. Nahisi alimaanisha Rojo na Blind kama hii mechi ingechezwa J3 basi tungewaona kwa pitch...
Ntuzu fanya kurudi mapema na taarifa za uhakika.
Mkuu sio kuota. Hii gemu nimeshahisi kuna approach ambayo LVG anatakuja nayona itawashangaza Chelsea na Mourinho wao.....baad ya hii gemu utaonaJamani leo nimeota MAN U tumewafunga Chelsea.... naombea hii ndoto iwe kweli...
Mkuu sio kuota. Hii gemu nimeshahisi kuna approach ambayo LVG anatakuja nayona itawashangaza Chelsea na Mourinho wao.....baad ya hii gemu utaona
Tumeshajiandaa kwa kila kitu Na huu mchezo ni rahisi sn kuliko ule Wa QPR....LvG yeye aje vovote tunamfahamu vzr sn km anavotufahamu sisi.....
Mimi sijui mnatoa wapi hiki kiburi... Hivi hadi sasa manure mnataka kuijadili gemu mliyopoteza tayari:what::what:
Ila hebu nogesheni jukwaa... Jioni msikimbie wanangu.
Ntuzu hii gemu kwenu mnaiona imeshakuwa rahisi baada ya injury crisis ila kiukweli nahisi itakuwa gemu ngumu kuliko wangekuwepo hai wachezaji walioumia na hii itachangiwa na wachezaji waliokuja kuziba hizo nafasi kutaka kuprove kwa kocha kuwa still they can do something na kujijengea imani kwa kocha
England na Ulimwengu wote leo watasimama kuona kabumbu safii na kila mmoja atasalute kwa Man U, no easy game my friend.......
Ntuzu hii gemu kwenu mnaiona imeshakuwa rahisi baada ya injury crisis ila kiukweli nahisi itakuwa gemu ngumu kuliko wangekuwepo hai wachezaji walioumia na hii itachangiwa na wachezaji waliokuja kuziba hizo nafasi kutaka kuprove kwa kocha kuwa still they can do something na kujijengea imani kwa kocha