Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Uchambuzi mzuri sana.
Hoja Yake ya pili.....
Msimamo Wa ligi uko hivi!
1. Chelsea points 73 Na ana kiporo kimoja.
2. Arsenal points 66
3. Man Utd points 65
4. Man city points 61
5. LFC points 57.
Hapa nani yuko kwenye tension kubwa ambaye anatakiwa kila mchezo ashinde? Bila shaka utaona ni Arsenal, ManU, Man City Na LFC. Kwasababu wakiteleza tu mwingine kapita.
Sisi ktk mchezo wetu Na ManU tunahitaji draw tu Na si kushinda.
Hoja Yake ya tatu....
Chelsea ana asilimia 90 ya kua bingwa kwasababu kuu moja kwamba hatuitaji kuangalia matokeo ya sijui timu gani imepata draw au kufungwa ili sisi tuwe ktk nafasi Fulani....sisi hili kombe liko ktk mikono yetu tulichukue au tulipoteze. Na ata km tukipoteza michezo mitatu ktk saba iliyobaki na kushinda michezo yote minne bado hawa wapinzani wetu hawawezi kuvuka points 84 ata km watashinda michezo yote.
Hoja ya 4.
Nina panga hapa kikosi alafu uniambie kwa ManU pamoja na sub ambao Mkuu anadai wakiingia watafanya mabadiliko makubwa kuliko sub ya Chelsea.
Kipa atakua Cech Na sub Yake ni Courtos.
Beki kushoto Na kulia ni Azpilicueta Na Philip Luis. Beki za kati ni Zouma Na Terry.
Viungo Wa kati.
Matic, Obi Na Fabregas.
Wings.
Hazard Na Willian.
Striker.
Remy.
Sub.
Ramires, Oscar, Cahill, Ivanovic, Drogba na Cuadrado Na kipa nimemtaja huko juu.
Sasa huo unarrow Wa kikosi unatoka wapi?