Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaaa mtani na wewe unafunguka hivi? Ngoja nikuitie b5-click maana yeye ndio anakuweza....akianza na De Gea anafanya kz ya mabeki...mabeki wanafanya kz ya viungo...viungo wanafanya kz ya kufunga ya mastrikers...mastrikers wanafanya kz ya mashabiki ya kushangilia...mashabiki wanafanya kz ya ukocha kupanga timu gani icheze na kocha LvG kz Yake kubeba mavitabu makubwa km anafundisha udaktari......hahahahaaaaa b5-click we kiboko Mkuu!
Hahahaha!!! Umeona umeshindwa umeamua kuomba usaidizi wa b5-click?? Bora yetu siye kuliko nyie madivers, parking areas wazur, wanamieleka wazur na wengine waleeee tumuulize yule nani wa PSG???? Hahahaha staki nikuumize mtani wangu ......yaishe bana...... Lol.
 
Last edited by a moderator:
attachment.php


Hahahaha ... haya sasa jamaa keshagonga hodi

Hapo kuna option mbili.....

1: Fungua mlango jamaa atumie shoka lake kistarabu kwako au 2: Kataa kufungua mlango jamaa atavunja mlango kwa nguvu na kutumia shoka lake kwako katika hali ya kutisha sana

Ushauri wangu kwa Chelsea : mnachotakiwa kufanya wekeni mabeki wengi na viungo wengi kama vipi msiweke mshambuliaji, mpira ukianza tuu pakini bus,treni,meli mpaka mpira utakapoisha ili matokeo yawe ya kuheshimika kwenu kwa kufungwa kwa tabu.

Mkijifanya kupanda na kushambulia, baada ya mechi kila washabiki wa timu zingine watakuwa wanawacheka kwa dhahama itakayowakuta

Asante Bulldog kwa picha
Ntuzu ushauri huu uchukueni na muufanyie kazi, hata Malafyale keshakutahadharisha kuhusu hatari ya kucheza na timu bora Man Utd kwa sasa.

Ni ushauri tu wakitaka wachukue wakikataa tusilaumiwe.
 
Baba yako Mournhio ndo katufundisha kuongea, kufunga raha sana yaani unatembea kila mahali kwa raha....... Sisi tuna maneno lakini hayajafika ya kwenu...... Mlitunyanyasa sana Mara vibonde, mtaa wa 7,tumeshuka daraja, new trafford n.k .......wacha tupige kelele tu.....tarehe 18 tunafunga kazi. Lol

Wanaongea wakiwa chumbani lakini ndiyo hivyo wameshaharibu kwenye suruali. Jamaa ndiyo huyo anagonga kwa mlango.
 
Hahahaha!!! Umeona umeshindwa umeamua kuomba usaidizi wa b5-click?? Bora yetu siye kuliko nyie madivers, parking areas wazur, wanamieleka wazur na wengine waleeee tumuulize yule nani wa PSG???? Hahahaha staki nikuumize mtani wangu ......yaishe bana...... Lol.

Hahaha mtani siku hiyo ukinifunga si ntapata tabu mie kwa maneno yenu? Maana duh....

Anyway ndio mambo ya mpira tambo za hapa na pale lazima ziwepo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa yani nikipita humu najikute nacheka tu....kweli mashabiki Wa ManU mmefufuka.

Msimu uliopita mdudu Nzi alikua anakomaa peke Yake...na ata mwanzoni mwa huu msimu mlikua wapole lkn sasaivi duh....ata mitaani ni vurugu...maofisini ni vurugu...humu Jf ndio usiseme...kila notification nayopata ni iko kwa michezo tu....safi sn lkn na inapendeza sn tu kua na maneno hivi.
Mkuu hebu tueleze humu Chelsea miaka ya 2000 mlikuwa mnajazana vijiweni au mitandaoni kama hivi?
 
Last edited by a moderator:
Man U ya hovyo hovyo ya beki akina Blackett hukumfunga ndiyo awe Man U huyu aliye pick up ?

Kumbuka kipindi hicho Chelsea alikuwa kwenye kiwango kikubwa sana cha Costa na wenzake!Nimewaona na Stoke na QPR aibu tupu!Mnategemea makipa wafanye makosa mfunge

Drogba hawezi msunbua beki Jones hata wacheze dakika 300»»»fact

Mkuu nafuatilia uchambuzi wako mara kwa mara, ninapenda unavyoongea kiufundi na si kiushabiki.
 
Tulikwenda OT bila ya Costa na huyu huyu Drogba unaemzarau akatupia...au unajifanya umesahau?

Hiyo pick ya ManU ni kwa timu yako tu na man city lkn juzi tu Arsenal kuwapiga hawa ManU na kikosi hichi hichi kilichokupiga wewe tena OT kwao...sasa ndio ije itutishe sisi tuna kila kitu alafu tuko home?!!?

Mtasubiri sn aiseee.

Unataka kutuambia humu FA na Arsenal Fellain alikuwepo?
 
Hahaha mtani siku hiyo ukinifunga si ntapata tabu mie kwa maneno yenu? Maana duh....

Anyway ndio mambo ya mpira tambo za hapa na pale lazima ziwepo.

Hahahaha!! Mtani usijali. ...tunajaza jukwaa hapa......
 
It's not easy beating the goalkeeper in a one-on-one situation. It's like going to a buffet and seeing all the things you like laid out there and you only have one stomach. Do you pick the fish or the chicken? OMG, it that Nyam Chom? And those ribs? Wolololo. What about room for dessert?"
It requires a calm head, confidence and a 'Do Not Panic' sign. That's how Mata did it against City. He made the run and Rooney placed the ball on his feet. He did not waver. He saw the goal, he nutmegged Joe Hart and ... Orgasmic! This morning, Mata said he was filled with adrenalin for that run, that win, that goal. You can read his blog by clicking on the link below.
--- Already looking forward to what he'll do at Chelsea. Do you think Mata will score against his former club? ‪#‎believe‬ ‪#‎GGMU‬ ‪#‎uniteddamu‬
phpThumb.php
 
Back
Top Bottom