Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Daraja la mbao unataka upitishe mtengu wa tani milioni moja, lawama hizo.
Naona mmeanza kua na jeuri
Daraja la mbao unataka upitishe mtengu wa tani milioni moja, lawama hizo.
Na ndio hilo hilo litakalo-wakata..ChelseaJiwe walilolikataa waashi..... MATA&FELLAIN For sure limekuwa jiwe kuu la pembeni!
Naona mmeanza kua na jeuri
Duuu man kama alshababu vileeee....
Naona mmeanza kua na jeuri
Naomba sana tarehe 18 ifike haraka ili tuweke rekodi sawa kuhusu namna ya kuheshimiana mtaani
Msimu ujao ni kubeba kombe
Jamani Carrick vip alipata tatizo gani?
Maana sikufuatilia
Msimu ujao ni kubeba kombe
Nataman kusikia two weeks out!!!
Mnatafuta heshima?