High defense line inaweza kutuletea madhara, haswa ukizingatia spidi za Kun na Navas...
Hutaamini macho yako hiyo siku!!
Ngoja nione kiumbe anavyonyolewa hapa.
Mkuu naona umekuwa ni Director of Football wa Man City..... kweli ni Man Utd against the World
Ila sisi tutamshughulikia anayekuwa mbele yetu mmoja baada ya mmoja
Mwizi tunamkimbiza kimya kimya
Man Utd piga hao noisy neighbours 4-1 tu zitamtosha.
Huu mpera mpera ni wa ushindi hadi tuchukue ndoo ya Premier .
Nilishakwambia naichukia Man Utd kuliko sumu ya nyoka mweusi(black Mamba)
Nilishakwambia naichukia Man Utd kuliko sumu ya nyoka mweusi(black Mamba)