kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
kitwala hapo mtawaumiza Man City na si Chelsea. Kwanza mnakuja darajani ambapo sisi mpk sasa tumepoteza mchezo mmoja tu. Mkijitahidi sn ni draw lkn kufungwa Man U hiyo ni lazima ili kujiweka vzr ktk kuchukua kombe!
Shughuli itakuwa kama ile ya first round. Draw hatuitazamii sana ila ikitokea siyo mbaya meanwhile kuna point 3 zetu kwa Arsenal.
Heheheheheheheeeeeeee
Last edited by a moderator: