Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

11091305_10152874850902746_2396890153314894427_n.jpg
 
Wanafuata
1. Man city
2. Chelsea
Tukiwaumiza hawa nafasi ya pili ya kwetu.

kitwala hapo mtawaumiza Man City na si Chelsea. Kwanza mnakuja darajani ambapo sisi mpk sasa tumepoteza mchezo mmoja tu. Mkijitahidi sn ni draw lkn kufungwa Man U hiyo ni lazima ili kujiweka vzr ktk kuchukua kombe!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol! nimecheka sana kumuona mdudu Nzi baada ya mpira kuisha akiruka ruka huku na kule kwa furaha tele lol! Hongera Mkuu Nzi kwa ushindi mnono.

BAK hebu nisaidie kumtafuta mdudu Nzi maana simuoni humu au anataka mpira uishe ndio aje na uchambuzi wake?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Oh! kumbe ndio sababu ukakaa kimya huku ukisali sala zote na kujiandaa kusepa kimya kimya bila kutia neno kama mngepigwa bao lol!!! Pressure panda, pressure shuka 🙂🙂

Asante sana Ntuzu sasa tunaweza alikana Pasaka lol, mechi za jumamosi huwa sizipend kabisaa nilifarijika tu kwamba tuko home.
 
Back
Top Bottom