Manchester United (Red Devils) | Special Thread

BAK hebu nisaidie kumtafuta mdudu Nzi maana simuoni humu au anataka mpira uishe ndio aje na uchambuzi wake?
 
Last edited by a moderator:
Yupo huyu mdudu Nzi juu ya screen ya luninga 🙂🙂 akifuatilia kwa makini game hii, akiwa ana wasiwasi ya kupigwa bao haji hapa mpaka mchezo uishe ndiyo utamuona akianza kurukaruka huku na kule kutusumbua sisi binadamu.

Nilichokisema kilikaribia kutokea kama si kufungwa bao la pili
Man U 2 AV 1
 
Yupo huyu mdudu Nzi juu ya screen ya luninga 🙂🙂 akifuatilia kwa makini game hii, akiwa ana wasiwasi ya kupigwa bao haji hapa mpaka mchezo uishe ndiyo utamuona akianza kurukaruka huku na kule kutusumbua sisi binadamu.

Ngoja nimtafutie ile dawa ya Spray inaitwa Rungu! Akianza kuruka tu kutusumbua namspray ya uso.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom