kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
wadau na wapenzi wa jukwaa hili nawatakieni sikukuu njema ya pasaka, kwani najua tutasherehea vyema baada ya kuzoa point 9 ktk mechi tulizoaminishwa kuwa ni ngumu.
Pole kwao walionyonyolewa manyoya, wajue tu kuwa huu ni mpira wa miguu ambao una matokeo ya aina 3 kushinda, kushindwa ama sare.
Nawape faraja tu kuwa bado wana nafasi ya kujifuta machozi kwenye kakikombe ka FA ikiwa watazichanga karata zao vizuri.
Otherwise nawatakieni PASAKA NJEMA NYOOTE