Hv kesho ndo tunakipiga na Liverpool au
Hv kesho ndo tunakipiga na Liverpool au
Breaking: Vice Captain Michael Carrick ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja klabuni.
Hii ni habari njema kwani bado tunaihitaji huduma ya huyu mkongwe.
Mna bahati sanaSamahani wakuu kwa kuleta ujuve huku old trafford,ni sababu ya malafyale mchokozi sana.
Hilo mbona halina shaka, kila mtu anajua kuwa mashetani wanapenda sana damu kwanin leo wasiinywe ya kuku wa kienyeji!!!leo iko wazi,mapema tu Majogoo tunayachinja.
Kwa uwezo wa Mola jumapili ya leo itakuwa nzuri kwa wapenzi na mashabiki wote wa Man Utd Dunia nzima na haswa tuliopo hapa Jamiiforums.
Mungu ibariki Man Utd
Mungu tubariki JF Man Utd family
Wandugu wakati wa mechi tujitahidi tuwepo hapa kwa wingi ili kukabiliana na wale #WakaangaSumu wote wanaojiandaa kuja kutuombea mabaya