muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
Kila la kheri United...
Tukishinda leo ubingwa unanukia
Tatizo la Man U ni upangaji mmbovu wa LVG kama ule wa FA. Usishangae leo akapanga watu wa ajabu ajabu kama Januzaj, Falcao, Van Persie halafu Rooney akamrudisha nyuma.
Inyeshe mvua au liwake jua...leo Man U lazima wachezee kichapo cha mbwa mwizi!! Yaani ni lazima mfungwe tu.
Labda mmejitahidi saana basi ni droo...ila kichapo cha goli 3-1 kinanukia na hakikwepeki.
kama lvg atapanga kikos kile tulichomuua nacho Tottenham lazma tushinde
Na iwapo itatokea Man U wakachukuwa ubingwa basi uongozi wa JF unipige lifeBan...naongea silias.
Shindwa na ulegeeeee hapo ulipo, na maneno yako hayatatimia, halafu ntawaita Monaco ujue.........lols
Kajifunze kuandika kwanza, ndiyo urudi tujadiliane....
lakini kichapo hakiepukiki leo.
SAF in the house...
![]()
Mungu ibariki The United......
Aaah wapi' pamoja na kuwa siipendi Chelsea...lakini hawa ndio mabingwa wa msimu huu.
Na iwapo itatokea Man U wakachukuwa ubingwa basi uongozi wa JF unipige lifeBan...naongea silias.
U will never walk alone